issa mweusi JF-Expert Member May 31, 2015 1,477 1,138 Dec 25, 2016 #1 Jamani nashangaa kuona lugha yetu makosa ni mengi sana wakati wa kuzungumza na hata katika maandishi,tatizo ni nini?
Jamani nashangaa kuona lugha yetu makosa ni mengi sana wakati wa kuzungumza na hata katika maandishi,tatizo ni nini?
O onlytruth Senior Member Dec 9, 2016 136 133 Dec 26, 2016 #3 kutafsiri lugha ama toka lugha ya mama kwenda kiswahili au lugha za kigeni kuja kiswahili! Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
kutafsiri lugha ama toka lugha ya mama kwenda kiswahili au lugha za kigeni kuja kiswahili! Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app