Lengo ni kujenga lugha sio kubomoa

Lengo ni kujenga lugha sio kubomoa

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,454
Reaction score
1,569
Kuna misemo/nahau za kiswahili nahisi hazina nafasi tena. Hii inatokana na uhalisia wa kizazi na maisha ya sasa. Mfano alie juu mngoje chini/haraka haraka haina baraka, kwa kizazi cha sasa sidhani, mtaka cha uvunguni...... Nao sijui kama Luna kizazi cha kuinama Bali in kuinua kitanda fast a tu. Hebu tujadili kwa pamoja nahau nyengine .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom