Ndugu zetu Zanzibar wamefirika

makandemoja

Member
Apr 17, 2016
57
48
Karume alisema hatuwezi kuiacha nchi hivi hivi tu maana ndugu zetu wa zanzibar huko nyuma wamefirika sana.
Yani mtu hata uchungu wa nchi hii hana eti anataka kua kiongozi "Alimalizia kwa kusema"
 
Mwenye kamusi ya kizanzibari anisaidie tafadhali kabla sijamtafuta ustadhi jecha.
 
Mwenye kamusi ya kizanzibari anisaidie tafadhali kabla sijamtafuta ustadhi jecha.

Jecha
4a56b834013d33f7c260752a3b72d419.jpg
 
Msishangae hata kwenye Biblia ipo hiyo:

1 WAKORINTHO
MLANGO 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala
wafiraji, wala walawiti,
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Wewe uliyeandika thread hii una hakika kasema maneno hayo? Kama sio hiyo sheria iliyosainia na rais juzi itakufunga miaka 20. Shauri yako
 
Msishangae hata kwenye Biblia ipo hiyo:

1 WAKORINTHO
MLANGO 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala
wafiraji, wala walawiti,
Kwa hiyo wewe unaona sahihi kusema Wanzanzibar wamefirwa ? Kisa wafiraji wameandikwa kwenye Biblia ?
 
Back
Top Bottom