Kupunguza matumizi ya 'every'

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
15178251_840524349383925_6066971083863900178_n.jpg
 
Asante sana mkuu. Mara nyingi hata mimi hujikuta nikitumbukia kwenye mtego huu.

Maneno haya 'very', 'just', 'the' ukifuatilia kwa makini mahali unapoyatumia, hata ukiyaondoa hayabadili maana.
 
Heading inasema kupunguza matumizi ya 'every' lakini ndani ni matumizi ya 'very'.
Omba mods warekebishe heading ili 'every' iwe 'very'
 
Back
Top Bottom