Naomba kufahamishwa nini maana ya neno mpuuzi.na pia ni tusi au ?
upuuzi ni Tabia
mpuuzi ni mtu mwenye tabia za kupuuza,
ni mtu asiyejali sana,
ni mtu ambae, hana utekelezaji, au ufuatiliaji, wa kina.
ukiitwa mpuuzi kama ndivyo ulivyo siyo tusi,
ila ukiitwa mpuuzi wakati uko makini unakuwa umetukanwa.
ni sawa tu na kuambiwa, "wewe ni mwanaume" wakati ni mwanamke, hilo nalo ni tusi, ila kama anaambiwa mwanaume siyo tusi!
japokiwa wanawake wanapenda kuitwa wanaume, wanaona wamesifiwa kutokuwa dhaifu, wanasahau kwamba, wakiwa kindani hiyo sifa bado itabakia tusi kwao!
kumwambia mwanaume, kwamba wewe ni mwanamke, ni tusi! kwa sababu unambandika jinsia isiyo yake!