dtj
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,332
- 1,375
Wanabodi,
Natazama KTN News hapa, mtangazaji anasema " madaktari wameidindia Serikali"Hapa ndio nachoka kabisa kiswahili cha Kenya kipo wazi huenda hakina aibu.
Tusaidiane kwanini kiswahili hiki hiki kina maneno yakitumiwa huku yanakua na "aibu" lakini kule hayana.
Karibu mwana bodi.