Sina uhakika kama kusema Mungu anakuona nayo ina u-jinsia!Msemo huu umeshamiri sana, napata shida kuelewa msemaji anakuwa na lengo gani anaposema huo msema. Nimesikia kwa wingi msemo huu ukitumiwa na wadada, halikadhalika nimestaajabu kusikia na kuona jinsia ya kiume pia ikitumia msemo huo. Kwa mimi naona ni msemo fulani umekaa kishosti shosti, basi kama wewe ni mwanaume na unatumia msemo huu jichunguze mara ya pili jinsia yako. #SeHaMiYaKi# Sema Hapana Misemo Ya Kishoga#