Maana ya neno Hulka.

jochiwa

Member
Dec 10, 2014
13
2
Nini maana ya neno hulka? Na je unaweza sema mtu ana hulka ya wizi? Au hulka ni kwa vtu vzur vzur tu? Msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom