Ipi sentensi sahihi?

Ya kwanza ambayo informed ni adjective.
Inform ni verb. Past tense marker -ed haibadilishi word class kwa sababu ni inflectional morpheme. Hivyo informed inabaki kuwa verb ila kutoka present tense inform kwenda past tense informed.
Sentensi sahihi ni ya kwanza maana ina tense agreement na was (zote past tense). Tense mbili zinazokinzana kwenye sentensi ya 2 linguistically zinaitwa ill formed sentences.

Ndivyo ninavyoelewa.
 
'inform' ni verb na ndiyo subject kwenye hiyo sentence. I stand to be corrected
Subject ni ‘I’ na object ni ‘was not informed’.
Sentensi ina pattern ya SV.
Subject ikitokea upande huo baada ya tense ‘was’ labda iwe subject complement.
 
Back
Top Bottom