kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Aisee katika mlolongo wa maneno lukuki yanayojitokeza kutokana na matukio ya kitaifa hivi sasa hili neno "DUDE" limeibuka na kushika hatamu katika vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii.
Naombeni kwa anayejua atupe maana halisi ya neno DUDE atuambie maana yake na pia atoe angalau mfano mmoja kwa kutumia neno DUDE kutokana na hali ya sasa nchini na matukio yanayojiri.
-----------------------------------------------
===================
Kalenga kidamali