Jukwaa la Historia

On JF:

KUTOKA JF MAPINDUZI DAY MORNING TRUMPET: YALE AMBAYO SIKUYASEMA Nimekuwa nikishambuliwa kwa maneno makali nikilaumiwa kuwa nilikuwa nakwepa maswali niliyokuwa nikiulizwa mtangazaji wa AZAM TV...
2 Reactions
3 Replies
562 Views
Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki. Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro. Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
KUTOKA MAKTABA: BAADHI YA VITABU KATIKA HISTORIA YA ZANZIBAR NA MAPINDUZI Baadhi ya waandishi wa vitabu hivi tulifahamiana na walio hai tunafahamiana. Baadhi ya vitabu hivi nimevifanyia mapitio...
2 Reactions
4 Replies
897 Views
Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
LOCATION:- Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani. Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu...
7 Reactions
89 Replies
25K Views
Siku chache zilizopita niliandika hapa kuhusu John Okello na pia nikaweka na video inayoeleza safari ya Okello Pemba mwezi Machi 1964 baada ya mapinduzi. Sharif Mohamed Yahya kutoka Tanga...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Miaka 40 iliyopita, Aprili 7, 1972; Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Historia huwa inapitia msururu mrefu wa matukio.Yapo matukio ambayo mwanzoni huenekana ni sehemu ya historia nzuri lakini kadri muda unavyokwenda watu hujutia historia hiyo na hatimae kuamua...
3 Reactions
19 Replies
769 Views
Tarehe 2 Januari 1964, meli iliyofahamika kwa jina la Mv Ibn Khaldun ikiongzwa na kepteni Racchid Ben-Yelles ilitia nanga katika bandari ya Dar es Salaam ikitokea kaskazini mwa Afrika katika nchi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. Nimewashauri vijana kwanza...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
TANGANYIKA STANDARD 17 JANUARY 1964 Mhariri wa Tanganyika Standard alikuwa Mwingereza Brendon Grimshaw. Gazeti hili lilikuwa mali ya Lonrho kampuni kubwa sana ambae mkuu wake alikuwa Tiny...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
MIAKA 40 iliyopita hapo tarehe 7 Aprili, 1972 Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume aliuwawa kwa kupigwa risasi katika jengo la Makao Makuu ya Chama cha Afro-Shirazi hapo...
4 Reactions
17 Replies
6K Views
Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Hii ni toka vita vya maji maji...
6 Reactions
77 Replies
3K Views
Wasaalamu wakuu? Najua unajiuliza ni kivipi nchini uingereza kuwe na mnada wa kuuza Mke?! Linawezekana vipi? Tulia Leo nikupe historia hii. Katika utawala wa Victorian malkia, nchini uingereza...
1 Reactions
3 Replies
744 Views
Je, huwa unafanya ubashiri? Ubashiri ni mfumo wa utabiri wa tukio fulani kuchukua nafasi katika wakati ujao. Historia ya kufanya ubashiri ni ndefu zaidi kuliko inavyofikiriwa na wengi. Ubashiri...
0 Reactions
6 Replies
897 Views
UWANJA WA MNAZI MMOJA 1948 Nilipata kuandika katika moja ya mitandao ya kijamii kuwa takriban kila aliyesikika katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika yumo ndani ya Nyaraka za Sykes...
11 Reactions
18 Replies
3K Views
KUTOKA MAKTABA. Mimi binafsi ni mpenzi wa kusoma sana historia.Ngoja nikupe historia ya wizi wa benki ulitokea nchini Arjentina. MPANGO ULIVYOPANGWA. Kundi la watu hawa walikuja na wazo mwezi wa...
3 Reactions
3 Replies
602 Views
Salam Wakuu! Naomba mwenye kuwa na softcopy ya vitabu hivi anisaidie tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nimekuwa nasoma makala nyingi sana zuhusizo Siasa za Tanganyika kabla ya kupata Uhuru. Miongoni mwa hizo Makala ni Kuzaliwa kwa TANU. Ukisoma vitabu vingi vinavyozungumzia Uhuru wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom