Kwanini historia ya kuanzishwa tanu haiwataji akina Hamza Mwapachu, Abdul Sykes na wengine bali inamtaja Nyerere tu?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,278
2,040
Wadau nimekuwa nasoma makala nyingi sana zuhusizo Siasa za Tanganyika kabla ya kupata Uhuru.

Miongoni mwa hizo Makala ni Kuzaliwa kwa TANU.

Ukisoma vitabu vingi vinavyozungumzia Uhuru wa Tanganyika vitabu vingi Vinamtaja Mwalimu Nyerere ndiye aliyeanzisha Chama cha TANU na havisemi alishirikiana na kina Nani.

Baada ya kusoma Makala moja kuna Watu kama HAMZA MWAPACHU na ABDUL SYKES wanatajwa kuwa walikuwa wana mchango mkubwa sana na Vyeo vikubwa kwenye Chama cha Siasa cha TAA ambacho baadaye Chini ya hao kina HAMZA MWAPACHU na ABDUL SYKES walimkaribisha MWALIMU NYERERE na ktk Kikao hicho Walianzisha TANU badala ya TAA na kumpa Mwalimu Nyerere Uongozi wa TANU.

Swali langu ni kwamba1
1. Kwanini HAMZA Mwapachu na Abdul Sykes na Wengine hawataji ktk HISTORIA ya kuanzisha ya TANU?

2. Ni nani Waliandika HISTORIA ya TANU?

NAOMBA kuelimishwa.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Sio tu kuwatoa hao katika historia ya TANU, hata baadae aliwatesa sana kina Fundikira, Kasanga Tumbo, Tuntemeke Sanga, na Kambona tu ndio alipigwa biti na mabwana zake UK na kumuachia atoke nchini salama.

Nyerere alikuwa ni mshezi na mpumbavu mmoja aliyeivuruga na kuitia umasikini hii nchi.

Samahani mimi napiga spana tu, tusubiri elimu kutoka kwa Mzee Mo
 
Wadau nimekuwa nasoma makala nyingi sana zuhusizo Siasa za Tanganyika kabla ya kupata Uhuru.Miongoni mwa hizo Makala ni Kuzaliwa kwa TANU.Ukisoma vitabu vingi vinavyozungumzia Uhuru wa Tanganyika vitabu vingi Vinamtaja Mwalimu Nyerere ndiye aliyeanzisha Chama cha TANU na havisemi alishirikiana na kina Nani.Baada ya kusoma Makala moja kuna Watu kama HAMZA MWAPACHU na ABDUL SYKES wanatajwa kuwa walikuwa wana mchango mkubwa sana na Vyeo vikubwa kwenye Chama cha Siasa cha TAA ambacho baadaye Chini ya hao kina HAMZA MWAPACHU na ABDUL SYKES walimkaribisha MWALIMU NYERERE na ktk Kikao hicho Walianzisha TANU badala ya TAA na kumpa Mwalimu Nyerere Uongozi wa TANU.
Swali langu ni kwamba1
1.Kwanini HAMZA Mwapachu na Abdul Sykes na Wengine hawataji ktk HISTORIA ya kuanzisha ya TANU?
2.Ni nani Waliandika HISTORIA ya TANU?
NAOMBA kuelimishwa.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Tupe hivyo vitabu vya Historia ya TANU vinavyomtaja Nyerere tu tuthibitishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom