Jukwaa la Historia

On JF:

https://youtu.be/t4HhcYoQmeI Mtu anapozungumza asichokijua. Anamtaja Abdul kuwa alikuwa mzee. Anasema Abdul Sykes hakusoma. Abdul Sykes alikuwa na miaka 28 Julius Nyerere miaka 30. Nyerere...
0 Reactions
1 Replies
619 Views
HISTORIA MPYA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hii makala niliiweka FB siku kama ya leo mwaka jana (2019) baada ya kuangalia video ya kiongozi mmoja wa kanisa akieleza historia ya TANU ambayo...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
HATARI YA KIONGOZI KUZUNGUMZA ASIYOYAJUA: ''MZEE'' ABDUL SYKES NA ''KIJANA'' JULIUS NYERERE https://youtu.be/t4HhcYoQmeI ''MZEE'' ABDUL SYKES NA ''KIJANA'' JULIUS NYERERE Kiongozi anapozungumza...
2 Reactions
1 Replies
586 Views
Katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1985 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alimtaja Abdul Sykes. Mwalimu alipita njia tu hakumweleza Abdul Sykes alikuwa nani...
1 Reactions
6 Replies
995 Views
MANGI MKUU THOMAS MAREALLE MANGI MSWAHILI Mara yangu ya kwanza kusoma historia ya Mangi Mkuu Thomas Marealle ilikuwa ndani ya Nyaraka za Sykes wakati natafiti kitabu cha maisha ya Abdul Sykes...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
BETI TATU ZA JULIUS NYERERE KUOMBOLEZA KIFO CHA SHAABAN ROBERT 1962 Leo asubuhi katika pitapita yangu Maktaba nimekutana na kitabu cha Prof. George Mhina, ''Mwalimu Nyerere na Tanzania," (1980)...
2 Reactions
1 Replies
841 Views
TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA YUSUF SALUM MALETA 1960s Yusuf Salum Maleta ni kaka yangu. Mwaka ni 1963 nimekuja kutoka Moshi nilipokuwa nasoma na nimefikia nyumbani kwa mmoja wa baba zangu Mzee...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Hata hivyo, tarehe 14 Novemba, 1968, Baraza la EAMWS la Tanzania liliitisha mkutano wajumbe kutoa mikoa yote ya Tanzania kujadili ‘’mgogoro.’’ Pamoja na waliohudhuria ni wajumbe kutoka mikoa...
1 Reactions
6 Replies
898 Views
Kipindi cha Ali Hassan Mwinyi, Aga Khan alikuja nchini kwa mara ya kwanza baada ya kutokanyaga ardhi ya Tanzania kwa miaka 20. Kwa maneno ya Mohamed Said Aga Khan aliitisha mkutano wa Waislamu...
23 Reactions
454 Replies
41K Views
WARANGI – 2: KABILA LILILOJIVUNIA MNO ASILI YAO Warangi ni warembo hasa. Na Innocent Nganyagwa NAWAKARIBISHENI tena kwenye safu yetu ya mambo ya Asili na Fasili, kama ilivyo ada yetu kila...
16 Reactions
84 Replies
33K Views
Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya...
33 Reactions
273 Replies
82K Views
BARAKA SHAMTE ANAPOPULIZA BARAGUMU LAKE https://youtu.be/hiK5cjWtf_A Kwa mara ya kwanza kumuona Baraka Shamte ilikuwa mwaka wa 1995 siku ya pili baada ya Zanzibar kupiga kura Maalim Seif Shariff...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
Uislamu ni "Trojan-horse" wa ukoloni wa Kiarabu. Mwanzilishi wa dini hiyo alikuwa Mwarabu. Kitabu chao kitakatifu kiko katika lugha ya Kiarabu. Lugha unayopaswa kujifunza na kutumia katika sala...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama ulizani umesikia yote, si kweli Chanzo: Chronicles Rw UCHAMBUZI Taarifa au Tetesi si hii ina ikweli kiasi gani? Tuanze hapa Karne ya 18 Pwani ya tanganika ilitawaliwa na mportugue ambaye...
0 Reactions
132 Replies
12K Views
Huu ni mtazamo wa kihistoria ambavyo watu wakubwa na wenyewe ushawishi katika jamii ikiwemo viongozi wa serikari, jinsi ambavyo wanaungana kufanya njama(conspiracy) ya kuwanufaisha wao lakini...
2 Reactions
5 Replies
556 Views
Leo Ni Sikukuu Ya Wachagga Duniani(World's Chagga Day), Ni Siku Kubwa Iliyokuwa Inaadhimishwa Kila Mwaka Siku Ya Novemba 10, Miaka Ya Kabla Ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka Michache Baada ya Uhuru...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
MAPINDUZI YA ZANZIBAR: KUNA MAMBO WAZANZIBARI WANGEPENDA KUYASAHAU Jana nimeandika hapa kuwa katika mahojiano ndani ya kipindi cha mapinduzi na Azam TV nilijizuia kueleza historia ya yale...
1 Reactions
7 Replies
669 Views
Mwaka jana nilibahatika kwenda Arusha kikazi ambako nililazimika kukaa kwa muda wa majuma mawili. Kuna mambo ya maana nimejifunza kutoka kwa kabila la wachaga, ambayo kama watanzania tukiyatilia...
29 Reactions
254 Replies
34K Views
Historia ya Ng'wanamalundi Hebu leo mjue vizuri huyu mtu wa miujiza aitwae Ng'wanamalundi shujaa wa Kisukuma aliyewatesa Wajerumani. Kwa wale waliopata kusoma historia au kusikia hadithi za...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kigwangalla ahoji viongozi wa umma walionunua nyumba hivi karibuni maeneo ya Masaki na Oyesterbay zenye thamani ya mpaka dola milioni 6, huku akitaja wengine wana mali za namna hiyo sehemu kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom