Tanganyika Standard na Mapinduzi ya Zanzibar

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,904
30,243
TANGANYIKA STANDARD 17 JANUARY 1964

Mhariri wa Tanganyika Standard alikuwa Mwingereza Brendon Grimshaw.

Gazeti hili lilikuwa mali ya Lonrho kampuni kubwa sana ambae mkuu wake alikuwa Tiny Rowland mtu aliyekuwa na ushawishi mkubwa na viongozi wengi Afrika.

Wakati wa mapinduzi gazeti hili liliandika mengi katika yale yaliyokuwa yanatokea Zanzibar na lilimpamba John Okello vizuri sana kiasi dunia ikaamini ndiye aliyepindua serikali ya Sheikh Mohamed Shamte.

Naamini wahusika wakuu wa mapinduzi walikuwa wanagaragara kwa vicheko kila walipokuwa wakisoma ukurasa wa mbele wa Tanganyika Standard kwani Grimshaw alikuwa amewakinga pakubwa na lawama za mauaji ya kinyama yaliyotokea katika mapinduzi yale.

Tanganyika Standard la tarehe 17 January, 1964 hilo hapo chini linasema viongozi wa Zanzibar wamefika Dar es Salaam kwa mazungumzo na mawaziri wa Tanganyika na kurudi Zanzibar.

Viongozi hawa walikuwa Abeid Amani Karume, Abdallah Kassim Hanga, Abdulrahman Babu, Othman Shariff, Idriss Abdul Wakil na Hasnu Makame.

Picha hii kila nikiitazama inanikumbusha mengi ya kusikitisha katika historia ya Zanzibar baada ya mapinduzi kwani kwa baadhi ya hawa viongozi ambao hapo kwenye Tanganyika Standard wanaonekana wana furaha na tabasamu, tabasamu zitaondoka na mapinduzi yatakuwa shubiri na watapoteza maisha yao ndani ya mikono ya ndugu wanamapinduzi wenzao.

Haikuchukua muda mrefu baada ya mapinduzi yakatokea mambo ambayo hakuna aliyeyategemea.

Ghafla Zanzibar ikatumbukia katika dhahma kubwa ya jela za mateso na kuuana.

Nimesoma vitabu vingi vya historia ya Zanzibar baada ya mapinduzi sijakuta popote pale mwandishi kaeleza sababu za kuanzisha jela hizi za mateso na mauaji ndani ya Zanzibar.

Hii ilikuwa taasisi mpya ambayo haikuwapo wakati wa Sultani.

Zanzibar haikuwa na historia ya watu kuuliwa ovyo wala kukamatwa na kuteswa.

Pamoja na haya watumishi wa baadhi ya vyombo vya usalama wakawa wanafanya kazi zao kwa staili ya Gestapo ya Adolf Hitler.

Hofu ikawa imetanda Zanzibar.

Hiki ndicho kipindi baba yangu akapoteza marafiki zake wawili wote wanamapinduzi - Abdulaziz Twala na Jaha Ubwa.

Sikumbuki baba yangu kwenda Zanzibar baada ya vifo hivi ingawa rafiki yake mmoja akiitwa Yunus, huyu alikuwa katika jeshi la polisi alikuwa hapungui kwetu kwa miaka mingi akija Dar es Salaam kumtembelea mzee.

Baada ya miaka mingi sana nikikutana na Bwana Yunus Mkunazini nikamwamkia lakini hakuweza kunikumbuka alikuwa mtu mzima sana na amechoka.

Huu ndiyo ulikuwa udugu wa wazee wetu huku Tanganyika na ndugu zao Zanzibar.

Nakumbuka siku Grimshaw alipoweka picha ya Hanga kwenye ukurasa wa mbele wa Tanganyika Standard yuko Mnazi Mmoja katika mkutano wa hadhara unaohutubiwa na Nyerere.

Baba anaiangalia picha ya Hanga uso umejaa ndevu kavaa miwani yake yenye vioo vyeupe.

Hanga alikuwa ametolewa jela kuletwa pale na alikuwa amedhoofu.

Nilikuwapo pale Mnazi Mmoja siku ile si zaidi kusikiliza mkutano bali ule ulikuwa uwanja wetu tukicheza mpira.

Hadi leo kila niitazamapo picha ile huingiwa na majonzi.

Pembeni ya Hanga alikuwa kasimama IGP Hamza Aziz.

Hanga alishambuliwa sana na Nyerere siku ile.

Baada ya siku ile Hanga alirudishwa kwa Karume na hakuonekana tena.

Hii picha katika Tanganyika Standard nikimwangalia Othman Shariff inanijia simanzi historia yake ni sawa na historia ya Hanga.

Kila ninaposikia jina la Othman Shariff inanijia picha ya mzee wangu marehemu Ahmed Kais.

Sheikh Ahmed tulikwenda sote Hijja mwaka wa 1998 tukazoeana sana.

Yeye alikuwa wakati wa ujana wake Jeshi la Polisi akitokea Zanzibar.

Siku moja tukiwa hijja katika mazungumzo akanambia, "Siku Othman Shariff anareshwa kutoka Mbeya mimi nilikuwa kazini uwanja wa ndege Dar es Salaam. Moyo wangu uliniuma kwa ile hali niliyomuona kisha kakalishwa chini sakafuni. Nilikwenda kumsabahi na neno aliloniambia ni kuwa nimuombee dua yeye anapekekwa Zanzibar kwa Karume."

Baada ya siku ile Sheikh Ahmed hakumuona tena Othman Shariff. Historia ya Zanzibar inakwenda mbele kisha inarudi nyuma pale pale kwenye damu ya mapinduzi na historia yake.

Uchaguzi Zanzibar ni jambo la kuogofya tayari vifo vishatokea na kwa hakika hili lilikuwa nalitegemea kwa sababu viashiria vyote vilikuwa vinaonyesha itakuwa hivyo.

Mapinduzi na sanduku la kura vinawatatiza sana Wazanzibari. Inaelekea mapinduzi hayataki kutoa nafasi kwa sanduku la kura. Katika msuguano huu kwa mara ya kwanza nimesikia lugha ambayo haikuwa inasikika kabla.

Baadhi ya Wazanzibari wanasema wanataka kuikomboa nchi yao kuirejeshea uhuru wake.

Haya ni maneno mazito yanayohitaji tafakari.
 
Baada ya siku ile Sheikh Ahmed hakumuona tena Othman Shariff.

Historia ya Zanzibar inakwenda mbele kisha inarudi nyuma pale pale kwenye damu ya mapinduzi na historia yake.

Uchaguzi Zanzibar ni jambo la kuogofya tayari vifo vishatokea na kwa hakika hili lilikuwa nalitegemea kwa sababu viashiria vyote vilikuwa vinaonyesha itakuwa hivyo.

Mapinduzi na sanduku la kura vinawatatiza sana Wazanzibari.

Inaelekea mapinduzi hayataki kutoa nafasi kwa sanduku la kura.

Katika msuguano huu kwa mara ya kwanza nimesikia lugha ambayo haikuwa inasikika kabla.

Baadhi ya Wazanzibari wanasema wanataka kuikomboa nchi yao kuirejeshea uhuru wake.

Haya ni maneno mazito yanayohitaji tafakari.
Angalia picha:
IMG-20201028-WA0000.jpg
 
Hii story inahitaji glass. Ntaisoma vizuri baadae
 
Zanzibar inatawaliwa na nani? Sio Wazanzibar wenyewe? Ila sema chaguo langu hajapewa madaraka, roho inaniuma kweli.
Na vile yule uliyesema Don Corleone naye ndio hivyo, basi kazi kweli kweli
 
Wakati wa mapinduzi gazeti hili liliandika mengi katika yale yaliyokuwa yanatokea Zanzibar na lilimpamba John Okello vizuri sana kiasi dunia ikaamini ndiye aliyepindua serikali ya Sheikh Mohamed Shamte.

Baadhi ya Wazanzibari wanasema wanataka kuikomboa nchi yao kuirejeshea uhuru wake.

Haya ni maneno mazito yanayohitaji tafakari.
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Tarehe kama ya leo 11/01/1964 miaka 60 iliyopita, ndio Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalifanyika!. Alfajiri ya Tarehe 12 Januari, 1964 ilikuwa ni kutangazwa tuu!.

Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Paskali
 
Back
Top Bottom