johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Papa John Paul II Mwaka 1990 alitembelea Tanzania na kukaribishwa na Rais Ali Hassan Mwinyi
Kumualika Papa aketiye Kitini pake Mtume Petro ni jambo moja lakini Mwaliko wako kukubaliwa ni jambo jingine kabisa
Mzee Mwinyi alifanikiwa katika hilo na Papa John Paul II akafanya Ibada katika maeneo ya kimkakati kuwawezesha Watanzania wote kushiriki
Mungu wa Mbinguni mrehemu Mzee Mwinyi
Mungu wa Mbinguni mbariki Dkt. Slaa
Jumaa Mubarak 😀
Pia soma > Tujikumbushe ujio wa Papa John Paul II nchini Tanzania mwaka 1990