Taazia: Sheikh Ali Hassan Mwinyi (1925 - 2024)

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,268
TAAZIA

Leo usiku saa tatu In Shaa Allah nitakuwa TV Africa Channel 2 Mubashara Kipindi Maalum cha Rais Mwinyi.

Wako King'amuzi cha AZAM Ingia Others.

Picha hapo chini Ukumbi wa Korea nikimkabidhi Mzee Mwinyi nakala mbili za kitabu cha Abdul Sykes (Kiingereza na Kiswahili) 2014.

Screenshot_20240301-090911_Facebook.jpg
 
Pole sana mkubwa.

Msiba wetu huu Mzee Mwinyi kaishi na watu vizuri.

Leo nilikuwa naongea na Mzee wangu, akikumbuka siku zake anaitwa Ikulu, lakini Rais anaongea naye kwa heshima kama wako sawa, kwa kuheshimu utu.

Jambo hili lilikuja kuwa adimu kwa wakubwa wengine.

RIP Ali Hassan Mwinyi.
 
Utuelezee baadae kwanin alituleteee majizi ,matapeli OBC ,ottelo business cooperation inayo jihusisha na uwindaji na sasa wamejitanua Zaid na. Kuwaondoa wamasai ktk eneo lao la asili ili wao waendelee uwindaji wao

Hilo usilisahau kufafanua

Leo wamasai wamekuwa homeless hawma mahala Wala asili Yao wanaondoshwa kinyemela na watu mwinyi amewaleta enzi za utawla wake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dr...
Hayo siyajui.
 
Pole sana mkubwa.

Msiba wetu huu Mzee Mwinyi kaishi na watu vizuri.

Leo nilikuwa naongea na Mzee wangu, akikumbuka siku zake anaitwa Ikulu, lakini Rais anaongea naye kwa heshima kama wako sawa, kwa kuheshimu utu.

Jambo hili lilikuja kuwa adimu kwa wakubwa wengine.

RIP Ali Hassan Mwinyi.
Mzee Mwinyi kamwe huwazi kumfanananisha na yule aliyejenga International Airport nyumbani kwa Mama yake.
 
Kosa kubwa la Mzee Ruksa ni kuuza Loliondo kwa Waarabu.
Katika hili anastahili lawama sana.

Kwa unafiki halitaongrlewa.

OBC ni watesi wakubwa sana kwa Watanzania, ole wako ukosee njia upitie kambini kwao kama hujauawa utatwswa kama jangili.

Wanajivunia wanyama na kuwapeleka kwao kama matango vile
 
Jana niliweka taarifa hapa kuwa leo tarehe 1 March 2024 nitafanya kipindi cha Rais Ali Hassan Mwinyi na Africa TV Channel 2 usiku saa tatu.

Naomba radhi kwa kuwa kipindi kilichelewa na kilianza kiasi cha saa nne kasorobo.

Kipindi hiki cha saa nzima kiliongozwa na Mtangazaji Ayubu Mgema.

Mtangazaji alifungua kipindi kwa kunitaka nieleze kumbukumbu yangu niliyobakianayo kutokana na Rais Ali Hassan Mwinyi.

Nilianza kwa kumweleza Rais Ali Hassan Mwinyi mwaka wa 1985 alipokuwa Rais wa Tanzania akija Msikiti wa Mtoro kusali sala ya Ijumaa na akipishwa kibla kusalisha.

1709331609255.jpeg

Tulizungumza mengi.
In Shaa Allah nitaweka link hapa.
 
Sijasoma mada ila nimesikitika sana!
 
Back
Top Bottom