Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa wale wote mliojaza chuo cha arusha technical college selection zmeshatoka na majina yapo nje Hata kama profile yako imeandka wait for selection jarb kuangalia Website ya atc Www. Atc. ac. Tz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Napenda kuuliza ajira kwa sekta ya kilimo zinautaratibu gani
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000 Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari wana JF Hivi nilitaka kusaidiwa kitu kumoja. Kuna siku kuna kaka yangu mmoja anasoma civil engineering pale MUST mbeya. Alikuwa anataka kuapply mikopo kwa bodi ya mikopo na mwingine dada...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hizi ni tetesi, kama tetesi zinaweza kuaminika basi ziaminike. Kwanza, TCU hawaja release mwongozo wa Equivalents kwa kuwa GPA ya 3.5 inagomba. Hii ni kwa sababu regulation ya GPA haipo standard...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau kuna tetesi nimesikia toka kwa mtu wa karibu pale uhaziri tabora kuwa course ya procurement imefutwa..je kunaukweli wowote ktk hili..tafadhar kwa anayejua.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbambagwa
0 Reactions
1 Replies
454 Views
Mnamo mwezi wa tano NACTE walifungua dirisha la Udahili ambapo wanafunzi kadhaa walilipia fedha ya usajili 50000/=. Guidebook waliyoitoa NACTE iliweka GPA 2.7 kama kiwango cha mwisho cha ufaulu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu. Hivi punde nimepata habari kua matokeo ya kidato cha sita 2016 yatatangazwa kesho ijumaa, tarehe 08/07/2016. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Pro. Joyce Ndalichako, wanafunzi waliosoma masomo...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
  • Redirect
Kuna tetesi kwamba post za nacte zinatoka hapo kesho mapema je kuna ukweli wowote wadau?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mbona kimya jaman..pressure wadau nacte tutoleen majina kama hakuna majina toen updates tujue kinachoendelea..jaman wana jf yeyote mwenye tetes atujuze
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanajf. Kuna taarifa zinazoenea kwa kazi miongoni mwa wanafunzi wanaosoma kozi ya stashahada ya juu ya Elimu (postgraduate diploma in education) kuwa ajira zao hazitakuwepo kuanzia sasa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
  • Redirect
Taarifa: HII.INA UKWELI WOWOTE WAKUU!!!? MAOMBI YA MKOPO YATAANZA BAADA YA MATOKEO YA 4M6 KUTOKA. NA WENYE DIV.1 &2 ndio watakao ruhusiwa kuomba mkopo tu, wenye div.3 wataenda diploma. Na...
0 Reactions
Replies
Views
kunadogo hapa mtaani kapata 3point25 phy-d chem-c bio-c mathe-d na mengine dna cmoja somo la art saxa anauliza anaweza kuchaguliwa combi gan shule za serikal
0 Reactions
2 Replies
703 Views
  • Redirect
Habari kwa wahitimu wote wa kidato cha sita na wahitimu wote wa stashahada mwaka 2016. Ni dhahiri kumefanyika mabadiliko makubwa Katika bodi ya usajili vyuo vikuu hii imehusisha mabadiliko ya...
0 Reactions
Replies
Views
Tetesi ni mwezi April kaeni mkao wa kujiandaa!!!
1 Reactions
34 Replies
14K Views
Uozo na siasa zinazoendelea.. Ndugu wana jamii forum kwanza nasikitika Sana kwa serikali yetu kuendelea kufumbia macho chuo kikuu cha Kampala international university maana ni chuo ambacho...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Naomba mtu mwenye hii guideline anitumie maana kwenye website ya NacTe link yao haifunguki
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jaman Mwenye Pdf Ya Kitabu Cha Chemistry For Secondary School Book 3 Written By Sedrick Magasi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom