Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Juzi kuna mdau alileta mada yenye kichwa cha habari kinachosomeka hivi Msitulaumu watu wa Lindi, Mtwara, Zanzibar, Tanga na Pwani kwamba tunafeli! Sababu ni hizi Kwa sasa Inasemekana kuwa Afisa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Et NECTA wametangaza matokeo ya kdt ch nne Jaman??
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wanajamvini,mwenzenu natafuta schoraship ya kwenda kusoma nje udaktari, mwenye link naomba ili niweze apply..msaada wenu kwa kwel.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Watu wengine wanasema kuunga jamani kutoka certificate ya nursing kwenda diploma je inakubarikaa?? 2. Kuchange course kutoka certificate burning kwenda Clinical assistance/Officer inakubalika...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
msaadah wakuu hpo inakuwajeh
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jaman kwa niaba ya wenzangu wote ambao tunawasubiri NACTE wafanye yao tuendelee kua na subra na kupeana updates kwa lolote litakalotokea....
0 Reactions
Replies
Views
WElcome For More Update TUJuzane VYuo Vya afya Tz
0 Reactions
9 Replies
4K Views
  • Redirect
Sory guyz,et kwa GPA ya 1.7 udsm unaweza kufanya suplement.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani ni kweli bodi inatoa mikopo kwa diploma? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
UHAMISHO TAMISEMI hivi karibuni tamisemi wametangaza utaratibu mpya wa kufuata ili kupata uhamisho kwa wale wote walio omba Kuwa mwombaji anapaswa kwenda moja kwa moja kwenye ofisi za tamisemi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hivi ukiwa na level iii ya veta unaweza apply diploma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kiama kingine kwa watumishi chaja Kada ya afya waliofoji vyeti wajiandae.
0 Reactions
Replies
Views
Watanzania wanajua nini kilitokea baada ya ripoti ya uhakiki wa vyeti vya taaluma yani kidato cha nne na sita kutolewa ikiwa ni baada ya kusitisha ajira mpya, nyongeza ya mishahara, kupandishwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Naarifiwa kuwa vijana wamegoma!!! Sababu sijadokezwa. Mwenye habari mjazo ajazie hapa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani nimesikia habari kwa baadhi ya walimu wa Lushoto mara hii mkurugenzi wa wilaya hiyo amezuia likizo na walimu wanaendelea kufundisha kama kawaida mpaka Tar 23/6/2017 ndio wafunge na...
0 Reactions
6 Replies
943 Views
Hapo zamani za kale Abunuwasi alimuendea mfalme akamwambia anaweza kumshonea suti ya thamani sana ambayo wenye dhambi watakuwa hawaioni na wasio na dhambi tu ndio watakuwa wanaiona. Mfalme akampa...
1 Reactions
1 Replies
490 Views
Habari Wakuu na wenyeji wa humu, Napenda kutanguliza salamu zangu kwenu awali ya yote. pili naomba kufahamishwa kwa anaetambua kuhusu hawa Jamaa NACTE je wamekwisha kufanya selection? ama bado...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu members jf-elimu!nikiri kuwa ni Mara yangu ya kwanza kupost humu jf-elimu.Ninaomba ushauri,mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE kama private candidate na amepata div.four ya...
1 Reactions
55 Replies
16K Views
  • Redirect
Mimi Mwalimu wa Kigoma manispaa natafuta mwalimu wa kubadilishana naye nafundisha GEOGRAPHY na HISTORY awe anatoka maeneo yafuatayo:- -IRINGA MANISPAA -KYELA -MASASI -MOROGORO MJINI Tuwasiliane...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Matokeo
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom