Tetesi: Naombeni kuuliza....Hivi wanaopata mkopo ni wenye ufaulu wa division 1&2 ??

Hizo story mnazipata wapi? Acheni kujazana Ujinga.

Yeyote mwenye sifa za kupata Mkopo atapata kama utakuwepo wa kutosha. Sifa kuu lazima kwanza uwe Mwanafunzi wa Elimu ya Juu (ukiachana na Special Diploma)

Pili,hizo kozi ambazo zimewekwa priority ni zile ambazo zina tija kwa serikali na nchi kwa ujumla. Yaani bado wanahitajika sana. Walimu wa Sayansi,Madaktari,Engineers,na wengine wengi. Hizo ni kozi ambazo zina nafasi kubwa sana ya kupewa Mkopo.

Ukishapata D mbili na ukafanikiwa kuchaguliwa kujiunga Chuo kama uliomba Mkopo utapata.

Kuna kozi zingine ambazo siyo priority kama Accounting,Law,Sociology,Human Resources na nyinginezo ambazo ni non-priority,utapata Mkopo kwa bahati (testing means)

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Bodi
www.heslb.go.tz
 
Yeyote mwenye sifa za kupata Mkopo atapata kama utakuwepo wa kutosha. Sofa kuu lazima kwanza uwe Mwanafunzi wa Elimu ya Juu (ukiachana na Special Diploma)

Pili,hizo kozi ambazo zimewekwa priority ni zile ambazo zina tija kwa serikali na nchi kwa ujumla. Yaani bado wanahitajika sana. Walimu wa Sayansi,Madaktari,Engineers,na wengine wengi. Hizo ni kozi ambazo zona nafasi kubwa sana ya kupewa Mkopo.

Ukishapata D mbili na ukafanikiwa kuchaguliwa kujiunga Chuo kama uliomba Mkopo utapata.

Kuna kozi zingine ambazo siyo priority kama Accounting,Law,Sociology,Human Resources na nyinginezo ambazo ni non-priority,utapata Mkopo kwa bahati (testing means)

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Bodi
www.heslb.go.tz
Jibu zuri kabisa la great thnker...ila mwisho means testing sio bahati bali kwa kuangalia uwiano wa availability ya mkopo, uhitaji na umaskini wako
 
Nawaza kwa sauti, sio kuwakwaza wengine. Hivi D mbili zinamshinda mtu aliyekuwa serious na shule kweli???
Au ndo hii vijana wanasoma bora liende.
 
Kwa PCB,PCM,CBA,CBG,PGM na masomo mengine kama hayo yenye Physics,Chemistry na Biology ni rahisi sana kukosa hizo DD.
 
Hizo story mnazipata wapi? Acheni kujazana Ujinga.

Yeyote mwenye sifa za kupata Mkopo atapata kama utakuwepo wa kutosha. Sifa kuu lazima kwanza uwe Mwanafunzi wa Elimu ya Juu (ukiachana na Special Diploma)

Pili,hizo kozi ambazo zimewekwa priority ni zile ambazo zina tija kwa serikali na nchi kwa ujumla. Yaani bado wanahitajika sana. Walimu wa Sayansi,Madaktari,Engineers,na wengine wengi. Hizo ni kozi ambazo zina nafasi kubwa sana ya kupewa Mkopo.

Ukishapata D mbili na ukafanikiwa kuchaguliwa kujiunga Chuo kama uliomba Mkopo utapata.

Kuna kozi zingine ambazo siyo priority kama Accounting,Law,Sociology,Human Resources na nyinginezo ambazo ni non-priority,utapata Mkopo kwa bahati (testing means)

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Bodi
www.heslb.go.tz
Ndugu yangu usiwape watu matumaini 100%,test means maana ake nini? Huyu anauliza kua mkopo upo? Wewe unamwambia kua kama ana sifa ya kua chuo kikuu atapata mkopo sawa lakini kama ni batati huyu mtu unamshsuri afanyeje? Courses zote za arts ni non priority na imeandikwa hivyo, kwa maana hiyo asipopata asilalamike.Halafu angalia na serikali tuliyonayo.
 
Nawaza kwa sauti, sio kuwakwaza wengine. Hivi D mbili zinamshinda mtu aliyekuwa serious na shule kweli???
Au ndo hii vijana wanasoma bora liende.
Ndiyo Mkuu!
Kwa Baadhi (Sio Zote) Ya Shule Za Private Ambazo Zinafahamika Vema Kwa Miundombinu Mizuri Ya Kusomea Na Zile Special School, itakuwa ni Jambo la Ajabu Mtu Kukosa 2D.

Lakini Kwa Government School Hususan Zile Zilizopo Nje Ya Jiji la Dar Kukosa 2D ni jambo Rahisi Kama Kumsukuma Mlevi.
Shule Haina Maabara ya Uhakika Mana Mpaka Mazoezi ya Practical Wanenda Kufanya Shule Jirani, Mwanfunzi Wa PCM Ndani ya Miezi Sita Hamuoni Mwalimu Wa Physics! Hayo Mafunzo ya Practical Anaanza Kupewa Mpaka ifike Miezi 3 kabla ya Mtihani. Halafu Shule Kama Hii Ya Kata Unashangaa Mtu Kukosa 2D??
Au umesoma FEZA BOYS/TABORA BOYS/MZUMBE????

Kwa Mtazamo Wako Huo Lazima Nikushangae Wewe Mkuu!
 
Sawa mkuu,
Yalikuwa ni mawazo yangu tu.
Sorry kama nimemkwaza mtu.
 
Jaman msiwe na was was hasa kwa wale waliosoma art na wanaham na nia ya kupata mkopo, il kujiendeleza kimasomo katka elim yao ya juu. LAPF wanatoa huo mkopo nenda ukajiandikishe sasa
 
Mkuu Naomba Kukuuliza Kitu, Hawa LAPF vipi Hawatozi Riba Za Kuumiza Kichwa??
Na Vipi Makato yao Katika Kulipa?
 
Nawaza kwa sauti, sio kuwakwaza wengine. Hivi D mbili zinamshinda mtu aliyekuwa serious na shule kweli???
Au ndo hii vijana wanasoma bora liende.
Viwango vipya ndugu binafsi nimemaliza mwaka huu na mungu kwa sehemu kubwa kanisaidia ila usiseme hivyo kaka unakosea kama A ya Economics hakuna Tanzania nzima na kipindi cha nyuma apo kaka zetu walipata na zilianzia 75%sasa hivi hiyo 75% ni B damn!
 
Ndugu yangu usiwape watu matumaini 100%,test means maana ake nini? Huyu anauliza kua mkopo upo? Wewe unamwambia kua kama ana sifa ya kua chuo kikuu atapata mkopo sawa lakini kama ni batati huyu mtu unamshsuri afanyeje? Courses zote za arts ni non priority na imeandikwa hivyo, kwa maana hiyo asipopata asilalamike.Halafu angalia na serikali tuliyonayo.
Siyo kweli kuwa course zote za arts ni non-priority.
 
Nawaza kwa sauti, sio kuwakwaza wengine. Hivi D mbili zinamshinda mtu aliyekuwa serious na shule kweli???
Au ndo hii vijana wanasoma bora liende.
Kaka we isikie tu, hawa walioko humu ndani vijana wa ki dot.com wao walipita shule tu, hizo D kwao waliishia kuziksikia ukiuliza kwanini sasa subiri majibu. Kana kwamba wenzao waliokuwa wakifauru hawakuwa wanadamu wa kawaida. Watanyoa viduku saa ngapi? Wakasome wataingia fb lini? Wakasome watatunga mashairi mda gani? Wakisoma ni nani atavaa model? na ndo hao hao wanaomsumbua Magufuli leo make kawachenjia
 
Back
Top Bottom