Tetesi: Hatimaye serikali yalipa allowance kwa walimu

KASHEBO

Member
Dec 4, 2012
31
4
Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000
Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya shule maana ni za mwalimu mkuu na si mtu fulani ila cheo. Hongereni wenye vyeo
 
tetesi za july zimeanza tena august
 
Kama ni kweli HAKUTAFAKALI vizuri.
Mwalim mkuu hana kazi kabisa zaidi ya kugonga mihuli. Mfano, Mwl mkuu hugawa majukum kwa idara mbalimbali kama vile second, discipline, academic na idara nyingine yeye kazi yake ikiwa ni kubaliki maamuzi ya idala tu. Hata kupokea na kuainisha mchanganuo wa pesa za elimu buree smt (school management team) ndo hufanya hiyo kazi kwa kushirikiana na idara mbalimbali.
Hizo posho kwa Mwl mkuu mwenye busara chake ni fifty tu, nyingine agawe kwa wasaidizi wake (walimu wote). Tofauti na hivyo natabili walimu kumsusia majukum Mwl mkuu wao.
 
Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000
Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya shule maana ni za mwalimu mkuu na si mtu fulani ila cheo. Hongereni wenye vyeo

hizo hazifundishiki tenaaaaa, huo mgogoro wake hapo hatari, mkuu wa shule anakaa pembeni na simu yake anachati na mb za kutosha kutoka kwa Magu, walimu wa zamu na madarasa wanakomaa kujza lesson plan, log book, duty book, attendance, black book, red book, ledger, scheme of work, na makorokoro kibaooooooooooo
 
Kama ameamua kuwalipa wakuu wa Shule na Waratibu Elimu kata basi nao wapewe majukumu mengine yote ya kiualimu. Vipindi, Zamu.. nk. Pia natabiri kuporomoka kwa Elimu kusiko kawaida ikisababishwa na Walimu kukosa morali ya kazi. Haiwezekani mkuu wa Shule anayepumzika tu apate allowance wakati mwl wa kawaida anayesota aambulie kupigwa mikwara tu.
 
Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000
Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya shule maana ni za mwalimu mkuu na si mtu fulani ila cheo. Hongereni wenye vyeo
mkuu uhakiki umeisha nn??
 
Back
Top Bottom