sonofdory
Member
- Jul 4, 2016
- 78
- 38
Wakuu. Hivi punde nimepata habari kua matokeo ya kidato cha sita 2016 yatatangazwa kesho ijumaa, tarehe 08/07/2016. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Pro. Joyce Ndalichako, wanafunzi waliosoma masomo ya sanaa waongoza kwa kufaulu....!! Wanafunzi waliofanya mtihani huo wanatakiwa kuwa na subira tu.