Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

taarifa kamili zitakuja baadae Paw saidia ku edit title, si makamu mkuu wa chuo ni muhadhiri
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbona nina muda mrefu sasa sijaona watu wakibadilishana vituo......wadau kuna nin katka hilo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Wana jamnvi leo nimeshangaa sana na kusikitika kusikia wapo form 4 ambao walikuwa na div 4 na walijiunga na vyuo vya ualimu, kwa sasa wanafunzi hao waliachishwa kusoma na kuambiwa warudie hadi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi taarifa zinazoenea kwa kasi kwa sasa katika chuo kikuu dodoma ni mpango wa mgomo na maandamano yanayo ratibia na wanafunzi wenyewe kwenda kwa waziri mkuu kwake kufikisha kilio...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
*MKAPA AONYA:* MAAGIZO, AMRI ZA VIONGOZI ZITAUA ELIMU. Dodoma. Wakati Serikali ikiendelea na mkakati wa kubadilisha mfumo wa elimu, Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa amesema maagizo na...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
  • Redirect
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUSOMA "DEGREE" BILA KUPITA "FORM SIX".Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Pro.Joyce Ndalichako amepiga marufuku wanafunzi kujiunga na masomo ya Shahada (degree) bila...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mtoto wa Rais Magufuli aliekuwa akisoma chuo kikuu dodoma ndugu Jesca-Magufuli habari zilizo tufikia na kudhibitisha na naibu mshauri wa wanafunzi Chuo Kikuu Dodoma kitivo cha sanaa, lugha na...
1 Reactions
Replies
Views
Kwa walio vyuoni, inasemekana eti wanafunzi wanaoendelea na masomo hawapewi fedha ya kujikimu ikiwa wana supplementary hata moja. Hii ni kweli?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bodi ya mikopo ya elimu leo imekana taarifa kwamba itatoa mikopo kwa wanafunzi waloobaki yaani 5000. Kutokana na ukata unaiokabili kutokana serikali kushindwa kupeleka fedha kwa ajili ya upangaji...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana Jf kuna ndugu yangu kapangiwa hicho chuo. so kama kuna mtu anakifahamu naomba anisaidie kipo maeneo huko dar
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi ni kweli UDSM majina yametoka ya kusaini boom? naomba msaada kwa walioko chuoni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natanguiza shukran kwanza pili nauliza hvi hawa maselikali yanatutakia nn mtaan mpaka sasa amna mikopo
2 Reactions
23 Replies
4K Views
habari wadau kesho nimesikia kuwa SAUT wanatoa matokeo sijui kama kuna mtu anataarifa kamili kwa mwenye ndugu pale?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika kuhakikisha kuwa walimu wanaingia darasani kumeandaliwa utaratibu wa kuwapa tablet walimu wakuu na wakuu wa shule ili kumpiga picha kila mwalimu pindi anapoingia darasani ili kuthibitisha...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Habarin za uzma wana jf, naomba kuuliza naweza kutransfer kutoka musoma utalii koz ICT kwenda afya kusoma certificate of clinical medicine?
1 Reactions
1 Replies
582 Views
Uchaguz wa awamu ta tatu form five upooo 2016
0 Reactions
9 Replies
7K Views
jamani naombeni msaada nimesoma chuo cha Kampala ngazi ya certificate in public administration nikaomba nacte niendelee na diploma ya kitu kingine yani diploma ya community development Ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomba kufahamu kuhusu mikopo ya elimu ya juu kwa wale waliotoka makazini ipo kweli mana kuna blogger mmoja hivi ka post kudai mwaka uu au wale continues wanaweza wakasitishiwa mikopo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata taarifa zisizo rasmi,kama mdau wa elimu Tanzania,kuwa kuna mabadiliko makubwa katika elimu ya msingi yatafanyika hivi karibuni. Mabadiliko hayo yatahusu mitaala,masomo husika na muda wa...
6 Reactions
59 Replies
9K Views
Back
Top Bottom