Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

NA RUSTON MSANGI. Ualimu ni kada pekee nchini yenye watumishi wengi kuliko kada nyinginezo. Waswahili husema penye wengi kuna mengi pia. Ni ukweli usiopinginga kwamba kila kada ina changamoto...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa kinavoeleza nna mdogo angu wangu ali risiti mtihan ila matokeo yake n mazuru kwan ana B mbili na C tano.. N masom y art ipi combi nzuri kati...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Wakuu anayefahamu shule nzuri kwa kidato cha tano na sita. kwa michepuo ya sanaa. Shule iwe DAR au Pwani. Ikiwa ya wasichana tupu itafaa zaidi. Ada iwe kati ya 1 000 000/- mpaka 3 000 000/-...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naombaa mtu yeyotee anayejuaa shule nzurii kwa level ya advance zilizopo dar es salaam.. anitajie na kama una contact zao unitumie hapa ntashukuru zaidii nina mdogo wangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar zenu Tafadhali naombeni ushaur wenu Nimepoteza cheti cha form four muda wiki hii sasa kabla cjaenda kurupot polis nimepigiwa cm mahali nikafanye interview na nikafanya tu kibahati...
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Mwezi november mwaka jana tuliarifiwa kuwa promotion kwa watumishi imeanza kshughulikiwa. Naomba kuuliza Kuna mtumishi yoyote ambaye mshahara wake umebadilika au ndio bado wanaendelea kushughulika?
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwanza ;;Hongereni kwa wale wote walioweza kukidhi vigezo vya kusoma Advanced na kuridhia kuendelea kusoma Advanced. •~ Moja ya changamoto mtakazo kutana nazo mtakapo kwenda shule hasa wale...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Msaada jaman hivi inawezekana mtoto akasoma elimu ya sekondari bila kumaliza elimu ya msing kama anajiweza kwa private school ??
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikipata shida sana naomba anaejua AM inaanza saa ngapi na kama inaisha saa ngapi animbie pamoja na PM pia ========== AM na PM inatumika ktk mfumo wa masaa 12, sio masaa 24. Hivyo...
0 Reactions
12 Replies
48K Views
Nataka nikasomee masters ya MBA
0 Reactions
6 Replies
4K Views
N vepe jf?Naulizia shule nzuri ya private kwa advance masomo ya sayansi specifically PCM kwa mikoa ya mwanza na tabora. Nina vijana kama watatu hivi.
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari za saizi wana JF, naomba tushauriane eti pre form five tuitions ipi ni nzuri kati ya public(ya kwenye centres) na individually/table teaching?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
2 Reactions
11 Replies
3K Views
The Positive Action for Children (PACF) Scholarship Fund combines completion of a health/development-focused qualifying MSc programme with practical industry experience to equip students with the...
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na laboratory techniques ni zipi? Na Maombi wanaanza kutuma lini?
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Wadau naomba kujua ni software gani nzuri inayoweza kuweka vipimo vya picha za photo Entry. Yan upana 132, urefu, 185 na resolution ya 72. Ikipatikana inayoweza kuprocess picha zaidi ya moja...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Lile shirika ambao lilijitanabaisha kuwapata wanafunzi mikopo TSSF, sasa wamefungiwa rasmi kufanya shughuli za utoaji wa mikopo ya elimu ya juu badale yake serikali imewataka kupeleka pesa zao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau; Kuna ndugu anahitaji ushauri, Huyu bwana amemaliza kidato cha sita 10 years,PCB ila hakubahatika kuendelea na elimu formally ingawa informally amesoma vitu vingine has kenye field...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Nilikuwa naangalia matokeo ya form 4, nimeshangazwa na wingi wa shule za sekandari mkoani kilimanjaro. mkoa una watu 1.6m una sekondari za o-level 279! Dar ya makonda ina watu 5m na shule za...
13 Reactions
175 Replies
24K Views
Elimu bure haizihusu shule za serikali zinazofundisha kwa kiingereza. Hata shule hizi zimeachwa ziendeshwe kiholela. Ada na michango kwenye hizi shule havina mpangilio. Kwanini serikali isiweke...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Back
Top Bottom