Serikali tupia jicho pia shule zako za kizungu

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,233
12,508
Elimu bure haizihusu shule za serikali zinazofundisha kwa kiingereza. Hata shule hizi zimeachwa ziendeshwe kiholela. Ada na michango kwenye hizi shule havina mpangilio.

Kwanini serikali isiweke ada Na michango elekezi pia kwenye hizi shule zake? Wazazi hawashirikishwi sana wanapewa taarifa na maagizo tu. Madhumuni ya shule hizi ni mini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom