Hivi ni laboratory technology au laboratory techniques?Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na laboratory techniques ni zipi?
Na Maombi wanaanza kutuma lini?
Elimu yako tafadhali tuanzie hapoLaboratory techniques
Nacte hivi wameanza kutoa ACADEMIC TRANSCRIPT ZA DIPLOMA YA MWAKA 2015/2017 Au bado???Mhh.. Mmeshaanza nyie IV graduate...
Subiri Kwanza NACTE wafungue dirisha
nacte wakitangaza kuanza kuapplay !!kaaplay vyuo vinavyotoa coz ya lab n MUST,DIT, ATC na sua!!!kuapplay n 30000tu!!Sio unavyozania
Inawezekana tu, muhimu uwe na wastani mzuri kwa ujumlaJamani ningependa kufaham
Je kama nina c mbili na d moja kwenye kombi yangu ya sayansi nitachaguliwa form five kwenye kombi yangu hiyo??
Yaani unamaanisha divisheni nzuri au sio?Inawezekana tu, muhimu uwe na wastani mzuri kwa ujumla
Yes, unaweza kuta mtu ana division 1,2/3 lakini akawa ana D kati ya masomo yake, anayo nafasi kuendelea labda ushindani uwe mkubwaYaani unamaanisha divisheni nzuri au sio?
ThanksYes, unaweza kuta mtu ana division 1,2/3 lakini akawa ana D kati ya masomo yake, anayo nafasi kuendelea labda ushindani uwe mkubwa
Upo wap mkuu!? Chaba!!Elimu yangu kidato cha nne mkuu