Natafuta shule nzuri ya wasichana kwa advance Dar na Pwani

Jan 2, 2018
53
64
Wakuu anayefahamu shule nzuri kwa kidato cha tano na sita. kwa michepuo ya sanaa.

Shule iwe DAR au Pwani.

Ikiwa ya wasichana tupu itafaa zaidi.

Ada iwe kati ya 1 000 000/- mpaka 3 000 000/-

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom