ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,019
- 3,882
Habari wadau;
Kuna ndugu anahitaji ushauri,
Huyu bwana amemaliza kidato cha sita 10 years,PCB ila hakubahatika kuendelea na elimu formally ingawa informally amesoma vitu vingine has kenye field za Business Administration and IT.In short yeye ana elimu ya kidato cha sita tu.Sasa anataka kwenda kusoma kozi ya Biomedical engineering,na kwa mujibu wake anataka kubadili fani kabisa kutoka business na IT hadi kwenda kwenye medicine ingawa hataki kusoma medicine pure.
Kwa yeye anafikiria kusoma kozi ya Biomedical Engineering
Je ni vyuo gani hasa vinatoa kozi hii hapa Tanzania,Gharama za Ada kwa kozi hizo ni kiasi gani.Na kwa wale ambao wamesoma kozi hizo au wanasoma kozi hizo kwa sasa wanaonaje kuhusu career prospects hasa kwa mtu ambaye anafikiria zaidi kujiajiri?
Je anaweza kufanya shughuli ambazo zitampatia kipato nakuwezakutengeneza ajira kwa wengine iwapo akisomea hii kozi?
Naomba kuwasilisha.