Naomba Ushauri/Msaada

Ilkham

Member
Jul 16, 2017
16
11
Habar zenu
Tafadhali naombeni ushaur wenu
Nimepoteza cheti cha form four muda wiki hii sasa kabla cjaenda kurupot polis nimepigiwa cm mahali nikafanye interview na nikafanya tu kibahati nikawaeleza nimepoteza chet wakanielewa
Sasa wameniambia nifatilie walau nipate cheti namba ili wahakikishe kama ni kweli ni miongoni kwa watu wenye vyeti OG

Msaada tafadhali hv hii chet namba naweza kwenda Necta kweli wakanielewa ndani ya siku mbili na cjatoa tangazo popote
Au inaweza kupatikana pia mtandaoni kama vile exam No.

Msaada please maana sielewi nifanyaje
 
Inamaana ukuwa ata copy ya hivyo Cheri
Ili uangalie hiyo naomba ya cheti?
By the way pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom