Ukijua jinsi ya kushika kamera na kucrop vzr Hilo tatizo huwez lipata1. Kama umepata dili na utengeze picha zenye uhalisia.
2. Si mnatunisha watoto wa watu mashavu, mnawapaka piko kichwa kizima. Mpaka sura inapotea.
Mkoa gan huo? Ina maana kila shule inapewa simu?Kwa sasa necta wana application ambayo itatumika kwa ajili ya kupiga picha za usajil wa necta ,wanaohusika na upigaji picha ni walim katika kila Shule mkoan kwetu wameshapewa mafunzo ya upigaji picha kwa kutumia simu
hiyo app inaitwaje tunaomba utufahamisheKwa sasa necta wana application ambayo itatumika kwa ajili ya kupiga picha za usajil wa necta ,wanaohusika na upigaji picha ni walim katika kila Shule mkoan kwetu wameshapewa mafunzo ya upigaji picha kwa kutumia simu
Sina hamu na picha ya kweny chet changu cha form four[emoji23][emoji23]ni kama nilishambuliwa na nyuki1. Kama umepata dili na utengeze picha zenye uhalisia.
2. Si mnatunisha watoto wa watu mashavu, mnawapaka piko kichwa kizima. Mpaka sura inapotea.