O oscar mahinyila New Member Joined Dec 18, 2017 Posts 3 Reaction score 0 Feb 2, 2018 #1 Habari za saizi wana JF, naomba tushauriane eti pre form five tuitions ipi ni nzuri kati ya public(ya kwenye centres) na individually/table teaching?
Habari za saizi wana JF, naomba tushauriane eti pre form five tuitions ipi ni nzuri kati ya public(ya kwenye centres) na individually/table teaching?
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,860 Feb 2, 2018 #2 Zote nzur mkuu
Patrioxylic Member Joined Jan 8, 2018 Posts 44 Reaction score 9 Feb 4, 2018 #4 Zote mzuri ila kama unaweza tafuta mwalimu mzoefu