Hii ndio Tanzania ya sasa, TSSF watakiwa kupeleka pesa zao HESLB.

Puma yetu

Senior Member
Sep 23, 2016
111
125
Lile shirika ambao lilijitanabaisha kuwapata wanafunzi mikopo TSSF, sasa wamefungiwa rasmi kufanya shughuli za utoaji wa mikopo ya elimu ya juu badale yake serikali imewataka kupeleka pesa zao HESLB ili kutunisha mfuko wa bodo hiyo.

Katika taarifa ya tarehe 18/12/2017 iliyotolewa na Mkurugenzi wa taasisi hiyo bwana Donati Sala, ni kwamba sasa wanajikita na shughuli ziingine za kijamii na sio kutoa tena mikopo ya elimu ya juu kama ilivyokua swali.

My take,

Kumbe wanazo pesa za kutosha, maana mwanzo tuliambiwa kua ni matapeli. Nia ya serikali kuwataka kuhamishia pesa zao HESB ni nini watazirudishaje? Au ndio kutaifishwa huko?
 
Hata wakiwapa bado hels kwa wanafunzi zitachelewa tu kama ilo kwa sasa wanafunzi bado hawajapata mikopo yao yaan kilio tu wengine tayar wengine bado heslb dah hapana
 
Ndivyo ilivyo
 

Attachments

  • taarifa_kwa_wanachama.pdf
    83.4 KB · Views: 51
hivi kuna watu ambao wapo chuoni wananufaika na mkopo wa hii taasisi???
 
Back
Top Bottom