Kuna effect gani kusoma chuo kisichotambulika na pharmacy council of Tanzania japo kinatambulika na NACTE?

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,486
34,789
Samahan wana jukwaa la elimu..nimepitia website ya pharmacy council of Tanzania nikakuta list ya approved instution to offer pharmaceutical programs ni chache sana ukilinganisha na idadi ya college zilizoidhinishwa na NACTE kutoa program mbalimbali za pharmacy.

Sasa najiuliza kuna effect gan endapo mtu atasoma chuo kisichotambulika na pharmacy council japo anatambulika na NACTE....au kuna nini hapo?

Pharmacy Council - Tanzania

Approved Institutions
The following training institutions in Tanzania Mainland have been approved to offer pharmacy programs. These are as follows:-

  • Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), Dar es salaam- Offering Bachelor Degree of pharmacy and Diploma in Pharmaceutical sciences
  • St. John’s University of Tanzania (SJUT), Dodoma - Offering Bachelor Degree of pharmacy
  • Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS), Mwanza - Offering Bachelor Degree of pharmacy and Diploma in Pharmaceutical sciences
  • Kilimanjaro School of Pharmacy (KSP), Moshi – Offering Diploma and certificate in Pharmaceutical sciences
  • Ruaha University College (RUCO) in Iringa – Offering Diploma in Pharmaceutical sciences
  • Royal Pharmaceutical Training Institute LTD, DSM –Offering certificate in pharmaceutical Sciences
  • St. Peters College of Health Sciences, DSM- Offering certificate in pharmaceutical Sciences
  • Paradigm College of Health Science, DSM – to offer certificate in pharmaceutical Sciences.
  • Gataraye College of Health Science, DSM - to offer certificate in pharmaceutical Sciences.
Au waweza pitia hii link

Approved Institutions | Pharmacy Council - Tanzania
 
Vip watalamu wa haya mambo wamelala nin? Tuwekeni sawa wakuu
 
Kwenye kazi yeyote ambayo kuna professional statutory regulatory body (kama Udakitari, Nursing, Pharmacy, veterinary)-kama program haitambuliwi na hiyo body hata kama inatolewa na chuo kinachotambuliwa na TCU au NACTE utapata wakati mgumu kusajiliwa ili utoe huduma. Hivyo ni afadhali kuepuka zali hilo mapema.
 
Mie nafikiri hiyo site hawajaupdate maana sikuhizi chuo hakisajiliwi kutoamafunzo mpaka board ya wataalamu ihusishwe. Labda tusaidiane kuwakumbusha hili hao jamaa. Maana mitihani yote ya vyuo vya afya inasimamiwa na wizara na pharmacy council ipo chini ya wizara kwa akili ya kawaida kabisa utajua tu pharmacy council wana shida
 
Ni vizuri kujiridhisha kuwa wamesajiliwa na pharmacy board yusije kupatwa na kilio baadae. Kuna wenzetu ni wajanja wajanja wanaweza kukuuzia mbuzi ndani ya gunia.
 
Mie nafikiri hiyo site hawajaupdate maana sikuhizi chuo hakisajiliwi kutoamafunzo mpaka board ya wataalamu ihusishwe. Labda tusaidiane kuwakumbusha hili hao jamaa. Maana mitihani yote ya vyuo vya afya inasimamiwa na wizara na pharmacy council ipo chini ya wizara kwa akili ya kawaida kabisa utajua tu pharmacy council wana shida
Kwani nacte na PHARM council yupi mkubwa apo swali,,naunapo zungumzia nacte jua apo kuna mkono wa serikali kwaiyo mm naona kama chuo kimesajiliwa na nacte inamaana tayali famasi council wameusishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ugumu utakuja kwenye kupata permit ila nowadays nacte wakipitisha then later pharmacy council wanakuja kufanya approval kama chuo kinakz vgezo.....ila kwenye hyo list vngne havpo ambavo pharmacy council washavipitisha
 
Kwani nacte na PHARM council yupi mkubwa apo swali,,naunapo zungumzia nacte jua apo kuna mkono wa serikali kwaiyo mm naona kama chuo kimesajiliwa na nacte inamaana tayali famasi council wameusishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
NACTE na Pharmacy Council wote wana mkono wa serikali kisheria. Lakini ni muhimu kuhakikisha kwamba Pharmacy council wanaitambua hiyo program na siyo NACTE peke yao. Kumbukeni sakata la Kampala International.
 
Jamani naomba niwatoe hofu nimewapigia NACTE nakuwauliza hili swala wakaniambia kwamba ukiona chuo kimesajiliwa na Nacte bac tayali kimesha pitishwa sehemu zote kwaiyo ata ukisoma amna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naomba niwatoe hofu nimewapigia NACTE nakuwauliza hili swala wakaniambia kwamba ukiona chuo kimesajiliwa na Nacte bac tayali kimesha pitishwa sehemu zote kwaiyo ata ukisoma amna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hapo sawa kama ni kweli mana kuna utitili wa vyuo vya famacy lakn vipo out of Pharmacy council..msala mwingine
 
last year kipind cha likizo walikuja pharmacy council na kufanya approval
Kwa hyo ile website yao ipo outdated...mana ukipitia hyo website st joseph ipo nje ya mstari
 
Jamani naomba niwatoe hofu nimewapigia NACTE nakuwauliza hili swala wakaniambia kwamba ukiona chuo kimesajiliwa na Nacte bac tayali kimesha pitishwa sehemu zote kwaiyo ata ukisoma amna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwel mkuu kwa ulchoandika haimaniishi chuo kusajiliwa na NACTE ndo kimepitishwa kote hiyo ni wrong information kabisa refer KIU kipo under NACTE na TCU lakin proffesional bodies like Pharmacy Council hawajaki approve kutokana na sababu kibao ambazo KIU hawataki kuzimaliza alaf unatakiwe ujue utofaut wa kazi kati ya NACTE na COUNCIL ndo utaelewa nn namaansha,NAWASILISHA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom