Kwanini wanafunzi wengi wa sayansi wanaopata div 1 "O-level" huangukia pua advance?

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,631
Hello guys

Naamini mwanafunzi yoyote anaepata division 1, o-level ya necta ana uwezo mzuri kiakili, sasa nashangaa wengiiiiii tena waliopata division 1 ya point 8 au divison 1 point 9 kwa O-level, wakifika advance haswa kwenye michepuo ya pcm, pcb na egm, huishia kupata division 3 au division 4, wachache mnooooooo hupata division 1 wakifika advance, tena division 1 yenyewe inakuwa ni division 1 ya 9, ile ya kukimbilia division 2

Nini kinachosababisha hii hali?
1)Uvivu? 2)Kuridhika na kubweteka 3) Akili ina-stuck 4)wanatupiwa madude yenye asili ya uarabuni na wabongo? au

Tushirikishane katika hili huenda tukawapa mwanga wa kujipanga kwa hawa madogo wa form 4 wanaotaka kuchukua sayansi advance
 
Watu mnakalili bado


Mkuu hapo physics wababe wachache


Hiyo physics ni COMB TOSHA


SASA HV o lever kuna ugumu gani??


Somo gumu o lever ni history Tuu maana sijui mnaielewaga vipi??

Ety wananiuliza 1848 kulitokea nn?? Wkt huohuo huo mwaka kuna matukip mengi SIJAWAI LIELEWAA HILO SOMO


ADVANCE NDIO SEHEM SHULE YA SERIOUS INAANZIA MKUU
 
Pia wengi huishia kuozolewa na SUA baada ya kuoga div 3 na div 4 form six.
 
Back
Top Bottom