Habari wakuu, jirani yangu alipata div 4 form6. Hiv sasa anataka kurudi kusoma ila anataka kuanza degree na sio diploma, alipata alama hizi
Gs S
Geog S
Chem F
Bios E
Bam F,
je anaweza kuresit somo moja wapo tu ili asafishe cheti kuongeza points za kuchaguliwa chuo kikuu?
Gs S
Geog S
Chem F
Bios E
Bam F,
je anaweza kuresit somo moja wapo tu ili asafishe cheti kuongeza points za kuchaguliwa chuo kikuu?