Pyredbello
Member
- Feb 25, 2018
- 54
- 35
Naomba ushauri wenu wadau was JF kwa aliyesoma combination ya PCM anipe maelelezo machache kabla sijaenda kuanza masomo yangu July 2018
Mwenyezi Mungu awabariki
Ahsante
Mwenyezi Mungu awabariki
Ahsante
Pamoja sanaNaipenda sana PCM, jiandae mapema kwa kusoma ili ukienda shule katimize kaulimbiu ya PCM, kuwa msumbufu wa masomo, mkorofi, mpga kelele, mtu wa migomo, duuuh naipenda sana PCM na ukimaliza utapata fursa nying xana utasoma caocaote utakacho ONE LOVE