Softcoppy ya kamusi ya Kiswahili sanifu.

Softcoppy ya kamusi ya Kiswahili sanifu.

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
418
Reaction score
495
jamani, kwa matatizo kama haya huku ndio kimbilio langu. Kamusi ninayo hitaji napenda iwe ta TUKI. Ikikosekana hio, basi yoyote.

Nina muda mrefu naitafuta ila siipati. Niliulizia HARDCOPY Nikaambiwa 20,000/=. Hat a MTU akiwa NA HARDCOPY aniuzie kwa bei rahisi, Sina pesa mie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom