Topics zipi zenye maswali common kwenye physics na bios advance?

Euna

New Member
Feb 24, 2018
3
1
Wapendwa wanajf naomben ushauri wenu ili niwahi kuzijua na kuzicover mapema topics zenye maswali common Kwenye Physics na Bios advance kwan naamin humu wapo watu mbalmbal wanaoweza kunisaidia
 
Wapendwa wanajf naomben ushauri wenu ili niwahi kuzijua na kuzicover mapema topics zenye maswali common Kwenye Physics na Bios advance kwan naamin humu wapo watu mbalmbal wanaoweza kunisaidia
Topic zote advance maswali wanatoa
 
Dogo kamua zote!
Mechanics
Heat
Current electricity
Hapo unajibu theory and practical then.
Then topics za kuchukua marks ni!
Electronics
Geophysics
Magnetism
Wave
Static electricity and etc!
Sijajua kwa sasa kama syllabus ni Ile Ile au imebadilika!!
 
b1a8274d3a87f3bae89ee3422aaf1327.jpg
 
Back
Top Bottom