1987SANAWA
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 430
- 560
Wakuu kuna mtu nilikuwa nawasiliana nae kama nusu saa hivi imepita, lakini cha ajabu muda huu nampigia naambiwa namba yake imefungiwa.
Naomba kuelimishwa sababu hasa za namba ya simu kufungiwa.
Naomba kuelimishwa sababu hasa za namba ya simu kufungiwa.