sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
nianze kwa swali dogo?
Mwana fasihi ni nani?
je ni kweli Mwanafasihi ni mtu wa kwanza kuumbwa na mwenyezi Mungu ili apate kuwatumia kuujuza ulimwengu?
Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu nilipata kutunga hadithi niliyoipa jina Mke wangu jifungue tuondoke jiji ili si la kulelea,hadithi hii mpka wa leo iko kwa wahariri haijawai rid.
nilipofika kidato cha nne nikatunga hadithi niliyoiita WOWO la BIBI KIZEE.. hii ilichapishwa na vyomvyo vya habari.
kidato cha Tano nilitunga hadithi iliyobeba,jina la SIKUDHANI
Riwaya yangu ya mwisho ilikuwa ikiitwa SAfARI kwenda KABURINI.
kipaji changu cha utunzi ni ulithi kutoka kwa Mwanafasihi Bailu katama mwandishi wa Sokoni kariakoo. na vingine vingi
umaskini umenifanya niizike fani yangu