Wanafunzi wa form 6 wanatarajia kuanza mitihani yao ya taifa kuanzia juma tatu.Mungu awasaidie wapate kufanya vizuri
Vijana wangu wa Sengerema Boys msituangushe
Kiswahili Lugha yetu
Sote humu ndani ya hili _kundi sogozi_tunamiliki _simu tamba_. Tuweni makini kwani kutumia _sikanu_ zetu _mkondoni_ kunaweza wapa mwanya wezi wa mtandaoni kutuibia. Wezi...
Kuna andiko limeandaliwa na wadau linalochambua vituko (sio dosari bali ni janga) vilivyopo katika vitabu vinavyodaiwa kuboreshwa na TIE baada ya vile vya awali kuchomwa moto.
Dosari na vituko...
Habari wakuu,naamini mpo vzri na hzi harakati za duniani.Lengo kuomba kufaham ukitaka kusoma msters open universty gpa ya mwisho ni ngap hasa kama unataka kusoma public administration with education.
Naombeni mawazo yenu ya kitaalamu wakuu kuna dogo hapa alimaliza form four mwaka 2017 alifaulu akiwa na three ya point 24 sasa anahofia akipangiwa advance atapelekwa arts mawazo ya wadau wengi...
Naomba msaada wenu.
Nina division 3 ya 23.nauliza itawezekana kuchaguliwa PCB kwa shule za serikali ikiwa Nina D ya chemistry na mathematics pia C ya geography na history.eti yawezekana?
Habari wanazuoni, mimi ni mmoja wa wadau wanaotamani sana kusoma nje (scholarship) ila shida ni kwamba kuna mtihani wa kiingereza kwaajili ya kiambatanisho cha certificate - maswali yangu ni...
Ndugu zang samahanini naitaj kufahamu course hipi bora kati ya flight operation au airport operation? Hipi ina urahisi wa ajira na hata kimaslai pia.... asante sana ndugu zangu
Naomba mawazo yenu wazee wa taarifa ni master degree gani naweza kusoma popote ambayo ina soko hapa nchini. Ni vyema ukanipa na wapi chuo kilipo.
Thanx in advance
Waliosoma bachelor of information technology
Naomba msaada maana nimechaguliwa NIT kwa kozi hiyo
Tatizo sijui inadili na nini pia soko la ajira kwa hiyo kozi maana najifikiria kubadil kozi
Habari wakuu..
Msaada kwa anayefahamu chuo cha nursing kinaitwa CHIMALA kipo MBEYA
kimesajiliwa na kinatambulika na serikali maana sina imani na vyuo hivi kuna mtu anataka kwenda kusoma huko...
Wakuu... salam kwenu. Kama kichwa cha habar kinavyonieleza kuna swali limekuwa changamoto kwetu..Natumain hapa JF litapata jibu... KARIBUNI
In a form 4 class there are boys and girls. The mean...
habari wadau,
naomba wale wenye ujuzi wa Economics waje hapa wanifafanulie maana ya Gross Domestic Product (GDP) interms of Purchasing Power Parity (PPP).
mie naelewa kuwa GDP (PPP) ina involve...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.