Wadau.
Mimi nina shahada ya ya kwanza ya PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT. Nahitaji kuendelea na masomo,nimepata taarifa kuwa hapa dsm kuna chuo posta kinaitwa Tanzania Institute of Project Management www.tipm.ac.tz kinatoa POST GRADUATE DIPLOMA IN MONITORING AND EVALUATION ninayoitaka.
Naomba msaada wa kutosha kuhusu uhalali wa chuo hiki.
Wazo lingine ni kuchukua Masters in project planning and management UDSM kozi mpya.
Wazo la mwelevu linamfaa aliye shakani.