Gef
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 507
- 459
habari za asb wanajamvi nipo mbele yenu naomba kuuliza kwa dar ni wapi kuna chuo kizuri cha uandishi wa habari na utangazaji tv & radio broadcast na je ada zipoje mkuu pia khsu field pia kama short courses zinapatikana naombeni msaada tafadhali mm nipo Kilimanjaro please. Nawasilisha .
Ahsanteni
CC:GEF
Ahsanteni
CC:GEF