Nipo idara sekondary nataka kuhamia primary nifanyeje?

Nipo idara sekondary nataka kuhamia primary nifanyeje?

Nenda kwa afisa Elimu secondary mueleze then atawasiliana na afisa Elimu msingi kujua kama kuna mahitaji ya Mwalimu
 
Duh...kuna watu wana roho ngumu,yani hivi hivi mtu anajipeleka primary??aiseeee..........
 
Back
Top Bottom