Mobutu sese seko kuku ngbendu wa zabanga...

MAHENGE JR

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
497
Reaction score
637
Napenda kwa wale wanaojua maana ya jina hili la huyu Mh.rais wa jamhur ya kidemocrasia ya watu wa congo na historia yake toka mwanzo wa urais wake na misuguano kati yake na mwanamuzi na gwiji wa enzi hizo bwana franco luambo makidad had hatma ya utawala wake ilikuwaje.? Karibun..
 
Ingia Tu GOOGLE Na Utapata Kila Kitu ILA Nilichojifunza Tu Kwa Viongozi WEZI Kama Siyo MAFISADI Kama Yeye MWENYEZI MUNGU Huwapa ADHABU Za KUTUKUKA Zinazowaathiri Hadi Wana Familia Wao. Kwa Mfano Huwezi Amini Rais Ambaye Alikuwa Na UTAJIRI Usio Na Mfano Afrika Nzima Huku Watoto Wake Wakisafiri Na Ndege Ya Concord Kutoka Kinshasa Hadi Paris Ufaransa Kila Siku Kwenda Shuleni. Aibu Ya Mwaka Ni Kwamba BINTI Yake Mkubwa Aitwae NGAWALI Sasa Ni Barmaid Ktk Hotel Moja Iliyopo Jijini Paris. Inatia Sana Huruma Japo Inashangaza Mno Tu Pia!
 
inatia huruma aisee,ngoja nijalibu kugoogle..
 
Aliwekewa vijidudu kwny Condom akiwa Swiss alikatika uume akafia Morroco na kuzikwa huko huko pato lake kwa mwaka lilikuwa linazidi lile la Congo (Zaire)
 
Ingia Tu GOOGLE Na Utapata Kila Kitu ILA Nilichojifunza Tu Kwa Viongozi WEZI Kama Siyo MAFISADI Kama Yeye MWENYEZI MUNGU Huwapa ADHABU Za KUTUKUKA Zinazowaathiri Hadi Wana Familia Wao. Kwa Mfano Huwezi Amini Rais Ambaye Alikuwa Na UTAJIRI Usio Na Mfano Afrika Nzima Huku Watoto Wake Wakisafiri Na Ndege Ya Concord Kutoka Kinshasa Hadi Paris Ufaransa Kila Siku Kwenda Shuleni. Aibu Ya Mwaka Ni Kwamba BINTI Yake Mkubwa Aitwae NGAWALI Sasa Ni Barmaid Ktk Hotel Moja Iliyopo Jijini Paris. Inatia Sana Huruma Japo Inashangaza Mno Tu Pia!

Duh! Kumbe kufanya kazi hotelini ni aibu kiasi cha mtu kusema ni adhabu toka kwa mungu! Polen San watu wote mnaotoa huduma kwenye MA bar na mahotelini dunia nzima
 
Ina maana kwa utajiri na ukwasi aliokuwa nao baba yake ni aibu kwa yeye kushikwa masaburi na wafaransa akiwa bamedi. What a shame!!
 
Ila alikuwa mtata maana kuna timu alikuwa akisafiri kwenda nje ya nchi aliondoka na wakuu wa majeshi woote pamoja na funguo za maghala yote ya silaha akihofia kupinduliwa na wakuu wake wa majeshi.

Jamaa alikuwa kapinda kweli!

Pia ana kituko kingine matata saana ntakileta punde.
 
Kushikwa masaburi umesema wewe na kila kazi ina changamoto zake hata madaktari wanashika vitu vya ajabu ajabu vya wagonjwa! Kwan kuna kazi za watoto wa matajiri? Nyie. Nyie ndo akina riziwan wakishika bot,tra,bandari, mnalalamika wakiwa ma ba medi mnacheka! Watoto Kibao wa mabilionea wanafanya kazi za kawaida! Mtoto wa billgate,clinton! Gentemrcyne kachemka
 
Tunakisubiri mkuu. Hahaha
 
Tunapeana moyo kazi ni kazi ila kuna baadhi ya kazi zina changamoto kuuubwa sana, na kinachotulazimisha tuamini huyu binti kala za uso ni hadhi na ukwasi wa Baba yake ambae alikuwa na marafiki matajiri wa kutupwa.

Kimsingi Status na condition ya anaefanya kazi ya kuzibu mavi huwa sio sawa na anaefanya kazi ya uhasibu hazina kuu taifa. Kwanza wazibua mavi wakizibua muda mrefu huwa wanakuwa vichaa..aaaaah!! Mavi yana siri kubwa mkuu.

Vipi mbona umepanick Baamedi nini pale Kimboka bar..samahani lakin maana ubarmaid nao kazi pia kama zingine.
 
Hao wafanyakazi wa hazina unaowaabudu wanaanza na take home tgs d 568,000 ukigawa kwa siku ni 18000, MA bar medi per day wanafunga mpaka 30000! Nani ana athaman? It's division of labour hata mbinguni watakuwepo wapiga tarumbeta na malaika! Kila mtu ana umuhimu
 
Alizaliwa katika-Kongo ya Belgiji-mwaka 1930. Kijana baada ya shule alijiunga na "Force Publique" yaani jeshi la kikoloni la Wabelgiji katika Kongo. Hadi 1956 akafikia cheo cha staff sajent akaacha jeshi na kufanya kazi magazetini akashiriki katika siasa.

Baada ya uhuru wa Kongo serikali ilimpa cheo cha kanali akawa jeshi mkuu wa Kongo. Katika nafasi kama mkuu wa jeshi alishirikiana na rais-Joseph Kasavubu-katika uasi dhidi ya waziri mkuu wa kwanza-Patrice Lumumba-aliyepinduliwa tar-14 Septemba1960-na kuuawa baadaye.

Mwaka 1965 Mobutu aliamua kumpindua Kasavubu akachukua uraisi mwenyewe. 1970 alijirudisha ofisini kwa njia ya uchaguzi uliopangwa naye wenyewe. 1969 alikandamiza upinzani wa wanafunzi wa chuo kikuu kwa nguvi ya kijeshi. Baada ya kuua wanafunzi wengi aliamuru 2000 wengine waingie katika jeshi ili wajifunze nidhamu.

1970/1971 Mobutu alitangaza kile alichoita "kempeni ya utamaduni wa Kiafrika". Alibadilisha jina la Kongo kuwa Zaire na raia wote waliagizwa kuacha majina yao ya Kikristo yenye asili ya Ulaya na kutumia majina ya asili ya Kiafrika. Suti za kiulaya zilipigwa marufuku na rais mwenyewe alianza kuvaa suti zilizoiga mfano wa Mao-Tse-Tung.

Mobuto mwenyewe alianza kujiita "Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga" yaani "Shujaa mwenye enzi asiyeshindikana". Kiuchumi alitaifisha makampuni ya kimataifa mara nyingi kwa kuzikabidhi kwa ndugu na wenzake. Lakini hadi 1977 hali ya uchumi ulizorota kiasi cha kumlazimisha kuwaomba wageni warudi tena.

Chini ya Mobutu nchi kubwa ya Kongo-Zaire ilirudi nyuma. Mobutu alijitajirisha kupita kiasi wakati nchi yake ilioza. Mwaka 1984 mali yake ya binafsi nje ya Kongo ilikadiriwa kuwa dolar za Marekani bilioni 4. Nchi kubwa za Magharibi kama vile-Marekani-na-Ufaransawalimvumulia na kumsaidia kwa sababu alionekana kama mwanasiasa anayesaidia kupambana na ukomunisti na harakati za ukombozi kwa mfano-Angola.

Wakati wa kuporomoka kwa-Umoja wa Kisovyeti-nchi za magharibi hawakuona haja tena kumsaidia Mobuto. Tangu 1990 alipaswa kukubali vyama vya upinzani hata akijaribu kuendeleza udikteta wake.

Mobutu alimtembelea rais Nixon wa Marekani 1973

Katika miaka ya 1996 na 1997 waasi waliongozwa na-Laurent Kabila-walienea katika mashariki ya Zaire kwa msaada wa nchi jirani-Uganda-na-Rwanda. Mobutu alipaswa kumkubali mpinzani wake-Etienne Tshisekedi-kama waziri mkuu lakini jeshi la Kabila likaendelea kusogea mbele. Tar. 16 Mei 1997 wapinzani walitwaa uwanja wa ndege wa-Lubumbashi-na Mobutu aliyegonjeka alikimbia nchi. Alikufa nje nchini huko-Moroko-7 Septemba-1997. Kabila alikuwa ameshaingia tayari Kinshasa tangu20 Mei-1997 na kuchukua utawala.
 
Nmekuelewa xana mkuu
 
Hao wafanyakazi wa hazina unaowaabudu wanaanza na take home tgs d 568,000 ukigawa kwa siku ni 18000, MA bar medi per day wanafunga mpaka 30000! Nani ana athaman? It's division of labour hata mbinguni watakuwepo wapiga tarumbeta na malaika! Kila mtu ana umuhimu
Bar made ana make mkwanja wa kutosha
 
Ingia Tu GOOGLE Na Utapata Kila Kitu ILA Nilichojifunza Tu Kwa Viongozi WEZI Kama Siyo MAFISADI Kama Yeye MWENYEZI MUNGU Huwapa ADHABU Za KUTUKUKA Zinazowaathiri Hadi Wana Familia Wao. Kwa Mfano Huwezi Amini Rais Ambaye Alikuwa Na UTAJIRI Usio Na Mfano Afrika Nzima Huku Watoto Wake Wakisafiri Na Ndege Ya Concord Kutoka Kinshasa Hadi Paris Ufaransa Kila Siku Kwenda Shuleni. Aibu Ya Mwaka Ni Kwamba BINTI Yake Mkubwa Aitwae NGAWALI Sasa Ni Barmaid Ktk Hotel Moja Iliyopo Jijini Paris. Inatia Sana Huruma Japo Inashangaza Mno Tu Pia!
Mhudumu wa Hotel anaitwa Bar Maid?
 
Back
Top Bottom