Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

WAKUU kama kuna mtu anamdau anasoma CBE DODOMA kozi ya Diploma ICT Intake ya March 2018 naomba aniunganishe naye plz. Asante sana.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimemaliza shahada ya kwanza ya BACHELOR OF TOURISM MANAGEMENT AND MARKETING nataka kujiunga na taasisi tofauti ili kupata experience and I do not care about payment. Naomba msaada kwa anaefahamu...
1 Reactions
1 Replies
851 Views
Wakuu mliopo humu ndani hivi open university wana course za diploma za ualimu?
1 Reactions
9 Replies
5K Views
nilikuwa nataka kujua zaidi kuhusu hiki chuo kama sijakosea huwa elimu yake inakuwaje. huwa ina kuwa ni online au darasani au ni ile unajisomea mnakutana kwenye test tu. na kama ni hivyo ada...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
mwenye kujua postal address ya afisa elimu sekondari, halmashauri ya mji kibaha, msaada naomba
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ivi jamani ukisoma HGE A level chuo kikuu utasoma course gani ukiachana na Ualimu na sheria!!!!!!
1 Reactions
10 Replies
47K Views
Daaaaah nimekaaa leo nikamkumbuka huyu Proffesor nikasema mwacheni Mungu aitwe Mungu manake huyu Prof ni kiboko kwa kwa carryover na Sap i remember them days kuna siku tulikosa course work almost...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu Habari za asubuhi? kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, ninaomba mnisaidie kupata programs za kuandalia mitihani na notes za somo la hisabati. Huwa ninapata shida sana katika maandalizi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua utaratibu was kujiunga na open university ngazi ya certificates, ada zake pamoja na minimum requirements zake. Specifically certificate in law . Thanks
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa wataalamu wa lugha yetu hii ya kiswahili Hivi tunasema utakufa kwa njaa au utakufa na njaa? Kama kuna maneno mengine tuyawekeni hapa tudumishe lugha yetu.
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Naomba mnisaidie wenyekujua Mimi nimesoma masuala ya procurement, nimepata elimu hiyo kwenye bodi ya wataharamu wa ugavi na ununuzi, psptb. Nimefikia level inayoitwa p3 . Natakakujua Kama kuna...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
District council is also composed by three members appointed by the Ministry for Local Government Authorities. One of them is (DED) District Executive Director mention others (two).
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamii, kwa mda mrefu nimekuwa na ndoto ya kujifunza mambo kadhaa kwenye courses za biashara kwa ngazi ya certificate/Diploma leval hivyo ninaomba kwa yoyote anaesoma au anaejua topic...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar Zenu Wana Jf Naiman Mko Vyema Nitangulize Shkran Zangu Za Dhat Kwenu Wana Jf Mimi Ni Kijana Ambaye Nimezaliwa 02.01.1997 Nimemaliza Shule Ya Msingi Daras La Saba Mwaka 2013 Bahat Mbaya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani, au ni mimi tu? Maharage yalinichosha sana wakati nasoma, nashauri serikali itafute mbadala wa maharage, mfano dagaa, mbaazi ama dengu Nini maoni yako mdau wa elimu?
2 Reactions
72 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu. Naomba anaefahamu wapi kuna shule ya serikali(Kidato cha kwanza hadi cha sita) ambayo ipo karibu kabisa na maeneo yafuatayo(karibu na barabara ya lami yenye daladala za moja...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
CV ya Goodluck Mlinga,
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Naomben kujua ipi facat nzuri Kwa wakati huu nchin kwetu TZ 1.Human resources and management 2.political science and public administration
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Habaru zenu wadau, Nakijana hapa kamaliza Degree ya kwanza Sociology sasa kahitaji kwenda Masters nikamuliza Masters ipi akanitajia hiyo. Nikasema tapitia JF niulizie hii wadau wanidadavulie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa anae hitaji ufundi wa simu anione soon class itaanza smartphone na zile za Batan ppt ulipo class itakufika na ufundi wa simu una pande mbili hardware na software Hardware ni repair ya divice...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom