Mwenye CV ya Goodlack mlinga naomba nione

Mwenye CV ya Goodlack mlinga naomba nione

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,774
Reaction score
12,084
CV ya Goodluck Mlinga,

68.jpg
 
Huyu jamaa kumbe alianza bachelor afu diploma [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Huyo Mlinga ni Tapeli na mshamba wa kawaida sana, ule ubunge wa kupewa kiujanja ujanja na kiundugu chini ya mwamvuli wa CCM ilitengenezwa kwenye kikao cha Ukoo baada ya Kifo cha........
Nina mfahamu vizuri huyo jamaa, kichwani ni sifuri kabisa.

Elimu yake hasa ni Darasa la Saba na Form Four Failure.
Hakuwahi kusoma Advance Level na wala hakuwahi kusoma chuo chochote kwa ngazi yoyote ile.

Nina uhakika hata uwezo wake wa kusoma na Kuandika kwa ufasaha lugha ya Kiswahili hana.
 
Hahahaha! Ameanza na Degree halafu akamalizia na Diploma! Kweli wabunge wa ccm ni wa kipekee sana.
 
Ila pia toa ya mbowe hapo tulinganishe tuone zaid ipi CV Kali iliojuu ya mwenzake pengine wakawa levo moja ndio maana wanajuwana vizuri
 
huyu mbunge ni katuni akisimama tuu kuchangia hoja huwaga nacheka kabla ya kuanzakuonge
 
Back
Top Bottom