Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Swala la bodi ya mikopo kuendelea kubadilisha vigezo kila mwaka tena visivyo na tija ni, muendelezo wa kukwepa majukumu ya kusaidia wanafunzi kutimiza ndoto zao za kupata elimu. Hii sio bahati...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendwa hivi kama ulimaliza form six miaka ya nyuma mfano mwaka 2013 ukiomba mkopo huwezi kupewa kabisa? Msaada please
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana jf kwa anayefahamu hichi chuo wanafanyaje Udahili na wanaanza mwezi wangapi intake mpya kwa programme ya diploma in pharmaceutical anijulishe.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimeona wanakopesha watakaosoma LAW SCHOOL na NELSON MANDELA tu!: hiv kweli unamkopesha mtu wa sheria unamuacha daktari wa binadamu MUHAS kusoma masters? Unamlipia mtu Nelson Mandela...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
My learned friends I come before you to at least get some tips on how to handle Advanced Level physics. I have committed a lot of my time to study it but I find myself to be empty when answering...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
It has been so long guys.Hawa jamaa washapata mwenyekiti wa bodi, ambaye inasemekana ndo alikuwa kikwazo kwa matokeo ya mitihan iliyofanyika Nov mwaka Jana kutoka . Mbona bado kimya wadau? Kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kujenga taifa, Kijana wenu nataka kurudi shule pale mlimani, nimewaza na kuwazua, nimeona niwashirikishe katika hili. Ipi kozi nzuri ya kuenenda katika hizo mbili ili kuweza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Mimi ni biologist nimegraduate two years back ,So nimeamua kuanzisha huu uzi ili tuwe tunapeana updates na news about this carrier. For now mimi nipo nafanya temporary work kwenye industry...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za leo Wana JF, Natafuta full scholarship katika level ya Masters Degree ktk field ya Environmental Science/Biodiversity Conservation. Nitashukuru sana nikipata maelekezo/msaada wenu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anaejua chuo kinachotoa master ya Transport and logistic management naomba kufahamu.
0 Reactions
14 Replies
45K Views
niende moja kwa moja kwenye lengo,je ni mahitaji gani ya msingi kabisa ambayo unatakiwa kuwa nayo ili kuanzisha maabara ya kisasa kwa ajili ya practicals za physics kwa olevo na advance!? Naomba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za usiku wanaJF nina shida na duka lolote linalouza vitabu kwa hapa DSM, vitabu mf wa The Davinci Code Origin Angels and Demons Alchemist 48 Laws of Power Mastery How to influence People...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar zenu wadau.. Hv hiz mashine za efd znatolew bure kama nnavoskia au znanunuliwa..? Na kama znauzwa bei ya chini kabisa n shingapi na nini umuhimu wake katika ulipaji wa kodi..?
1 Reactions
3 Replies
871 Views
Naomba kuuliza nina four ya 27 naweza pata certificate ualimu?
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari Wakuu, Huwa Kuna Swali Moja Linanisumbua Sana Akilini, Mtu Aliyesomea Course Ya Community Health Anaweza Kujiendeleza Kwenye Course Gan Ya Afya??? Nakama Hapo Ndo Itakuwa Mwisho Wake, Ajira...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Waheshimiwa habari za asubuhii hiii Naomba kupata maarifa kuhusu masomo ya public health masters yenye changamoto katika usomaji. Namatumain sio yote ila kuna baadhi ya masomo yenye ukakasi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf kwa wale wote wanaotarajia kujiunga na vyuo mbalimbali vya kozi za afya kwa mwaka 2018/2019 tukutane hapa kupeana ushauri kidogo.
1 Reactions
50 Replies
12K Views
Mim ni muhitimu wa shahada ya ualimu mwaka 2017 ktk fani ya elimu BaED, sasa kutokana na changamoto za ajira nimewaza vitu vifuatavyo, Kusoma tena certificate ya fani nyingine. Au Kufanya...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Wanajukwaa samahani kwa usumbufu Nilikuwa naomba msaada kwa anaeijua hii shule,, kama kuna mwanafunzi anayesoma, au kuna mwalimu anaefundisha hii shule IGALULA SEC SCHOOL, ipoo Tabora, Uyui...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Discuss the applicability of Organizational Models in Educational organization especially in Secondary school level.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom