SHAIDI
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 291
- 142
Habari wana jamii, kwa mda mrefu nimekuwa na ndoto ya kujifunza mambo kadhaa kwenye courses za biashara kwa ngazi ya certificate/Diploma leval hivyo ninaomba kwa yoyote anaesoma au anaejua topic za business administration/ Marketing naomba anifahamishe nataka kusoma kwa lengo la Kuongeza maarifa tu binafsi sio mtu wa field za sanaa.