Msaada kuhusu open university OUT

lushalila

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
283
107
Naomba mwenye kujua utaratibu was kujiunga na open university ngazi ya certificates, ada zake pamoja na minimum requirements zake. Specifically certificate in law .
Thanks
 
Source - https://www.out.ac.tz/page.php?m=212
Sidhani kama Chuo kikuu Huria wanatoa certificate of Law!

Non-Degree Programmes za OUT ni hizi:-


Faculty of Education
Certificate in Early Childhood Education (CECE)
Diploma in Early Childhood Education (DECE)

Faculty of Science, Technology and Environmental Studies
Certificate in Poultry Production and Health (CPPH)
Diploma in Poultry Production and Health (ODPPH)

Faculty of Business Management
Certificate in Early Childhood Education (CECE)
Diploma in Early Childhood Education (DECE)

Institute of Continuing Education
Certificate in Distance Education, jointly with South African Extension Unit (CDE)
Diploma in Youth Development Work,jointly with the Commonwealth Secretariat (CYP)
Certificate in Foundation Course - (OFC)
Diploma in Open and Distance Learning (ODDEOL)
Diploma in Primary Teacher Education (ODPTE)


Institute of Educational and Management Technology
Pre-Entry to Certificate in ICT
Certificate in ICT - NTA Level 4
Diploma in Computer Science - NTA Level 5-6


Source - https://www.out.ac.tz/page.php?m=212
 
Wakati tunasubiri wenye kulielewa waje, unaweza kuingia OUT ukapakua prospectus yao na haya yote yatakuwa wame yaeleza au kama uko mji mkuu wa mkoa huwa wana viyuo vyao-watembelee na utapata maelezo mujarabu kuhusu hiyo program.
 
Naomba mwenye kujua utaratibu was kujiunga na open university ngazi ya certificates, ada zake pamoja na minimum requirements zake. Specifically certificate in law .
Thanks
Viegezo vya kujiunga na certificate unapaswa kuwa na ufaulu wa kuanzia pass 4(D 4) O level.
Lakini Open bado hawajaanza kutoa certificate ya Law.
Unaweza kuona programme nyingine za certificate walizonazo.
Tovuti yao ni www.out.ac.tz
 
Back
Top Bottom