masubi grandson
Member
- May 11, 2018
- 8
- 2
Ivi jamani ukisoma HGE A level chuo kikuu utasoma course gani ukiachana na Ualimu na sheria!!!!!!
Dorrenly93Ivi jamani ukisoma HGE A level chuo kikuu utasoma course gani ukiachana na Ualimu na sheria!!!!!!
mitihan ilikuwaje lakini ?Jamani nahitaji maoni yenu nisaidieji jaman
sijawai ona hii koz chuoni!?Dorrenly93
Asante sana[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ukifaulu vizuri unaweza kusoma course zote kasoro za science Kama za Afya, Engineering na za ICT